Yanayohusiana na funga ya Ramadhani

YANAYOHUSIANA NA FUNGA YA RAMADHANI (NO. 6)

كفارة المرأة المرضعة.

☞ Kafara ya mwanamke mwenye kunyonyesha

السؤال:

Swali: 📂

إذا كانت المرأة ترضع وخافت على نفسها،

Pindi atakapokuwa mwanamke ananyonyesha na akaiogopea nafsi yake (kufunga),

فماذا يجب عليها إذا أفطرت في نهار رمضان ؟

Basi ni kitu gani kinawajibika juu yake pindi atakapokafungulia katika mchana wa Ramadhani ?

الجواب:

Jawabu: 📚

إذا خافت على نفسها،

Pindi atakapoigopea nafsi yake,

فإنها تفطر ويجب عليها القضاء فقط،

Basi atakula na inamuwajibikia kulipa tu,

إذا خافت على نفسها فإنها تفطر وتقضي،

(Yaani) akiiogopea nafsi yake basi atakula na atalipa,

وليس عليها إطعام.

Na hawajibiki kulisha (masikini).

📥 المصدر:

Chanzo: (link ya kupata fatwa ya Sheikh hii hapa): 👇🏽

https://www.alfawzan.af.org.sa/en/node/14891

Maelezo ya mwandishi:

Masuala ya hukumu ya funga ya mama mjamzito na mwenye kunyonyesha ndani ya Ramadhani yana tofauti baina ya wanavyuoni na hii fatwa ya sheikh -Allah amuhifadhi- ni moja katika kauli ya madhehebu manne nayo ni madhehebu ya Hanafia nayo ni kauli ya kuwajibika kulipa zile siku walizokula bila ya kutoa fidia sawa sawa wakijihofia wenyewe au watoto wao.

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Shabani 19, 1443H ≈ Mar 22, 2022M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *