YANAYOHUSIANA NA FUNGA YA RAMADHANI (NO. 9)
التساهل في قضاء رمضان.
☞ Kuzembea katika kulipa Ramadhani
السؤال:
Swali: 📂
امرأة تساهلت في قضاء رمضان خمسة أيام لدورة شهرية،
(Kuna) mwanamke amezembea katika kulipa Ramadhani siku tano (alizoziacha) kwa sababu ya mzunguko wa mwezi (hedhi),
فدخل رمضان الآخر،
Na ikaingia Ramadhani nyingine,
فماذا تفعل ؟
Basi afanye nini (mwanamke huyu) ?
الجواب:
Jawabu: 📚
إذا أخر في القضاء إلى رمضان الآخر من غير عذر،
Pindi (mtu) atakapochelewesha kulipa Ramadhani mpaka (ikaingia) Ramadhani nyingine bila ya udhuru,
إنما هو من باب التساهل،
Hakika si vinginevyo (amefanya hivyo) kwa mlango wa kuzembea,
فإنها يلزمها شيئان،
Basi bila shaka (mwanamke) huyo yanamlazimu mawili,
القضاء و إطعام مسكين عن كل يوم عن التأخير .
Kulipa na kulisha masikini kwa kila siku aliyoichelewesha.
📥 المصدر:
Chanzo: (link ya kupata fatwa ya Sheikh hii hapa): 👇🏽
Maelezo kutoka kwa mfasiri – Allah amuhifadhi
Kwa maana atafunga na kulisha masikini kwa kutoa kilo moja na nusu takribani kwa kila siku anayoilipa, rejea makala namba 8 upate maelezo zaidi.
Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Shabani 22, 1443H ≈ Mar 25, 2022M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•