Muda gani inaanza itikafu na inaisha lini ?

Makala namba (19)

متى يبدأ وقت الاعتكاف ومتى ينتهي؟

☞ Muda gani inaanza itikafu na inaisha lini ?

السؤال:

Swali: 📂

متى يبدأ وقت الاعتكاف ومتى ينتهي؟

Muda wa itikafu unaanza lini na unaisha lini ?

الجواب:

Jawabu: 📚

وقت الاعتكاف يبتدئ بالمدة التي عيَّنها،

Wakati wa itikafu unaanza kwa muda ambao (mkaaji) ameuainisha,

المدة التي عيَّنها،

Muda (maalumu) ambao ameuainisha,

فإذا نوى أن يعتكف العشر الأواخر،

Basi kama atanuia kukaa itikafu kumi la mwisho (la Ramadhani),

فإنه يبدأ الاعتكاف من بداية الليلة الحادية والعشرين،

Bila shaka itaanza itikafu tokea mwanzo wa usiku wa (Ramadhani ya) ishirini na moja,

من بداية الليلة الحادية والعشرين،

Kuanzia mwanzo wa usiku wa (Ramadhani ya) ishirini na moja,

وينتهي بنهاية الشهر.

Na itamalizika kwa kumalizika mwezi (wa Ramadhani).

📥 المصدر:

Chanzo: (link ya kupata fatwa ya Sheikh hii hapa): 👇🏽

https://www.alfawzan.af.org.sa/en/node/14891

Maelezo ya mtarjumu:

Itikafu ni ibada kongwe ambayo ilikuwepo tokea kwa mitume waliopita, na hukumu yake ni suna haiwi wajibu isipokuwa mtu akiweka nadhiri, na ni suna kukaa itikafu wakati wowote isipokuwa katika kumi la mwisho la mwezi wa Ramadhani itikafu inakokotezwa zaidi, na uchache zaidi wa itikafu ni mtu kukaa msikitini kwa nia ya itikafu zaidi za kile kiwango kinachohitajika katika tuma’aninah (utulivu) katika swala, kwa maana hata ukikaa dakika kadhaa na ukanuia itikafu basi utapata ujira mfano ukiingia msikitini kwa ajili ya swala basi nuia itikafu, kwa sababu sheria haijaifunga itikafu na muda maalumu isipokuwa ikiwa itikafu ni ya nadhiri.

Tanbih :

Usiku wa Ramadhani ya ishirini na moja unaanza baada ya kuzama kwa jua la Ramadhani ya ishirini.

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Ramadhani 18, 1443H ≈ Apr 19, 2022M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *