UISLAMU SAHIHI

كتب الشيخ صالح العصيمي -حفظه الله تعالى- عبر حسابه على تويتر .

Ameandika sheikh Swaleh Al-Uswaim -Allah amuhifadhi- kupitia ukurasa wake wa twitter (maneno yafuatayo) :

السَّلفيَّة هي الإسلام الصَّافي الخالص عن الشَّوب،

Usalafi ni Uislamu safi uliotakasika na uchafu (bidaa),

فأهلها باقون على ما كان عليه سلفهم الصَّالح المتَّبعون للنَّبيِّ ﷺ،

Na watu wake ( yaani masalafi) ni wenye kubakia na yale waliyokuwa nayo wema wao waliopita wenye kumfuata Mtume-swala na salamu za Allah zimfikie -,

فهي اسمٌ للإسلام السَّالم من التَّغيير.

Basi huo (Usalafi) ni jina la Uislamu uliosalimika na kubadilishwa.

الأربعاء ٩ ربيع الأول ١٤٤٤

Maelezo ya mfasiri :

Huu ndiyo usalafi ni ule uislamu uliokuwa safi ulioepukana na takataka za bidaa na uzushi na Masalafi ni wale waliobakia na yale mafundisho ya wema waliopita ambao wameyachukua kutoka kwa Mtume -swala na salamu za Allah zimfikie- kwa hiyo usalafi ni jina la ule uislamu uliosalimika na kubadilishwa .

Usalafi si chama bali ni dini ya Allah ni kuwafuata Maswahaba ambao wameipokea dini kutoka kwa Mtume -swala na salamu za Allah zimfikie-tunawajibika kuwafuata katika itikadi,ibada ,mialama ,tabia na mengineyo.

Mwisho tunasema hivi kumtoa mtu katika usalafi si jambo jepesi hivyo kama wanavyodhania baadhi ya watu kwa sababu kufanya hivyo ni kumuingiza katika bidaa na kumtoa katika duara la sunnah !., na kumtoa mtu katika usalafi ni jambo zito kama alivyosema sheikh Suleiman Arruhailiy -Allah amuhifadhi – bofya hapa upate faida hiyo:

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo sita 18, 1444H ≈ Oct 14, 2022M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *