TAFUTA MAHARI NDOA IMEKARIBIA !

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net

MIONGONI MWA MAHARI ZA WANAWAKE HAWA WAREMBO NI HII !

عَنْ مُعَاذِ بْنِ أَنَسٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ أَنَّ النَّبِيَّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ:

Kutoka kwa Muadhi bin Anas -Allah amridhie- kuwa Mtume-swala na salamu za Allah zimfikie- amesema:

«مَنْ كَظَمَ غَيْظًا وَهُوَ قَادِرٌ عَلَى أَنْ يُنْفِذَهُ،

Mwenye kuizuia ghadhabu na hali yeye anauwezo wa kuipitisha ,

دَعَاهُ اللهُ سُبحَانَهُ وَتَعَالى عَلَى رُؤُوسِ الْخَلَائِقِ يَوْمَ الْقِيامَةِ حَتَّى يُخَيِّرَهُ مِنَ الْحُورِ الْعِينِ مَا شَاءَ»

(basi) Allah atamuita (mtu huyo) mbele ya mkusanyiko wa viumbe siku ya Kiama ili amhairishe (achague) katika Mahurulaini anaowataka .

رواه أبو داود، والترمذي، وقال: حديث حسن.

Maelezo ya mfasiri:

Yule atakayezizuia hasira zake pamoja na kuwa ana uwezo wa kujitetea na kumuadhibu yule aliyemuudhi basi mtu huyu Allah -aliyetukuka- atamuita mbele ya viumbe siku ya kiama kwa kumkirimu na kumdhihirisha kuwa yeye ni mtu ambaye alisubiri kwa ajili ya kutafuta radhi zake Allah na malipo yake ni kuingizwa peponi na kuambiwa achangue anayemtaka katika Mahurulaini /wanawake wa peponi ambao ni weupe na wenye macho mazuri makubwa yenye kupendeza .

Kwa hiyo ndugu yangu hii ni miongoni mwa mahari za kuwapata wanawake hao !

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo sita 23, 1444H ≈ Oct 8, 2022M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *