PALESTINA NI YETU ENYI WAISLAMU !

قال الشيخ عبد العزيز بن باز-رحمه الله تعالى -:

Amesema sheikh Abdul-Aziz bin Baz-Allah aliyetukuka amrahamu-:

“القضية الفلسطينية قضية إسلامية أولًا وأخيرًا،

Kadhia ya Palestine ni kadhia ya Kiislamu mwanzo na mwisho ,

ولكن أعداء الإسلام بذلوا جهودًا جبارة لإبعادها عن الخط الإسلامي،

Lakini maadui wa uislamu wametoa juhudi kubwa kuitoa hiyo (kadhia) katika mstari wa kiislamu ,

وإفهام المسلمين من غير العرب؛أنها قضية عربية لا شأن لغير العرب بها !”

na kuwafahamisha waislamu wasiokuwa waarabu, kuwa hiyo ni kadhia ya kiarabu (na) wasio kuwa waarabu haiwahusu (kadhia) hiyo .

مجموع فتاوى ومقالات متنوعة (٢٧٧/.)

Maelezo ya mfasiri :

Kadhia hii ni ya kwetu waislamu na wala si ya kadhia ya waarabu kwa maana vita vinavyoendelea kule Palestina ni vita vya kidini na wala si vita baina ya Waarabu na Mayahudi na hivi ndivyo wanavyoeneza maadui wa uislamu na waislamu, na lengo lao la kufanya hivi ni kuwaweka waislamu mbali na kadhia hii kwa sababu wanajua kuwa lau waislamu wataungana katika kuwasaidia ndugu zao hawa, basi bila shaka kwa uwezo Allah Myahudi hafurukuti,

Palestina ni ardhi ya waislamu ndani yake kuna msikiti wa tatu kiutukufu kwetu sisi waislamu , na ni ardhi ambayo wameishi ndani yake mitume mbalimbali .

Ni upi wajibu wetu sisi waislamu kwa upande wa ndugu zetu ?

Kwa kweli ndugu zetu wa Gazzah wapo katika hali mbaya mno ambayo haisimuliki, na haki ambayo wengi tunaimiliki kwa upande wa hawa ndugu zetu ni dua ,kama vile kukunuti katika swala tano kwa kumuomba Allah awape nusura ndugu zetu hawa na awaangamize Mayahudi/ watoto wa nyani na nguruwe .

Pia jambo muhimu la kuzingatia katika kipindi hiki ni kuwa muislamu anatakiwa afahamu kuwa wale wanaopata shida na kuteseka na kuuwawa ni waislamu wenzetu wanyonge na wala haifai kipindi hiki kuzungumza mazungumzo ambayo si mahali pake kama vile kuwalaumu “Hamasa” kwanini wao wamesababisha balaa kubwa zaidi kwa waislamu wa Gazzah ?! , na maneno mengine mfano wa hayo bila shaka hilo limeshatokea, kwa kipindi hiki tunatakiwa tuangalie hali ya waislamu wenzetu na wala kusema hivi haina maana sisi tunaunga mkono zile harakati zinazofanywa na baadhi ya hayo makundi kama vile kushirikiana na Mashia, na wanachuoni wameshaitoa tahadhari hiyo muda mrefu yaani huko kushirikiana kwao na Mashia n.k ,lakini sasa hivi tuangalie ile hali ya wenzetu, na bila shaka hili linamgusa kila muislamu,na yeyote ambaye halijamgusa hili basi aikague imani yake kwa sababu muislamu lazima aumie pindi anapomuona muislamu mwenzake anapata tabu na shida,

pia tunatakiwa tuwe na yakini kuwa Palestina itakuja kuwa mikononi mwa waislamu na pia ni lazima tujue kuwa Palestina haitokombolewa na Mashia ,haitokombolewa na watu wenye kuwatukana maswahaba ,Palestina itakombolewa na waislamu wa kweli wenye imani inayofanana na imani ya Umar bin l-khattwaab -Allah amridhie- ambaye yeye ndiye aliyeikomboa hapo mwanzo kutoka kwa Manaswara .

Amesema Mtume -swala na salamu za Allah zimfikie-:

لا تقومُ الساعةُ حتى يقاتلَ المسلمون اليهودَ ، فيقتلُهم المسلمون ،

Hakitosimama kiama mpakal waislamu watakapopambana na Mayahudi, na (waislamu) watawaua hao (Mayahudi)

حتى يختبيءَ اليهوديُّ من وراءِ الحجرِ و الشجرِ ،

mpaka Myahudi atajificha nyuma ya mawe na miti,

فيقولُ الحجرُ أو الشجرُ : يا مسلمُ يا عبدَ اللهِ هذا يهوديٌّ خلفي ، فتعالَ فاقْتلْه .

basi mawe au miti itazungumza : Ewe muislamu ,ewe mja wa Allah huyu (hapa) Myahudi nyuma yangu basi njoo umuue.

إلا الغَرْقَدَ ، فإنه من شجرِ اليهودِ

Isipokuwa (mti wa) ghar’qad (hautowataja) ,hakika huo ni mti wa Mayahudi .

صحيح الجامع ٧٤٢٧

Hii ni ahadi kutoka kwa Mtume wetu -swala na salamu za Allah zimfikie- na hatuna shaka hata kidogo kuwa hili litatokea lakini hili halitofanywa na wazushi kama vile Mashia ambao uadui wao dhidi ya Ahlu-ssunnah upo wazi tezama namna walivyowaua waislamu Iraq, Lebanon,Yaman,Siria , ni vipi leo hii wawasaidie Ahlu-ssunnah ! .

Mwisho : Kazi ya masheikh na wanafunzi wa elimu ya kisheria , ni kuubainishia ummah kuwa vile ni vita vya dini na kuwabainishia waislamu walijue hili, ama swala la kushiriki hilo lipo mikononi mwa watawala wa nchi za kiislamu, na tunamuomba Allah awape taufiq na kuwaunganisha pamoja viongozi wote wa Ahlu-ssunnah waweze kumuondoa Myahudi katika ardhi ya kiislamu, ama sisi waislamu wengine lile tunaloliweza ni dua kama tulivyoeleza hapo nyuma ,lakini pamoja kuwa masheikh waubainishie umma wa kiislamu uadui wa Mayahudi ili adui afahamike lakini ifahamike kuwa hatuungi mkono maandamano kwa sababu hayana faida bali madhara yake ni makubwa zaidi na wala si katika dini yetu .

Sikiliza muhadhara huu wa muda mrefu alioutoa sheikh Swaleh alu-sheikh -Allah amuhifadhi- una faida nyingi sana kuhusu kadhia hii 👇🏼

Tanbih: Makala hii ni mkusanyiko wa maneno ya baadhi ya masheikh zetu -Allah awahifadhi- ila nimeongezea baadhi ya nukta chache.

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo saba 7, 1444H ≈ Oct  22, 2022M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz

         •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *