NASAHA KUTOKA KWA MWANACHUONI MKONGWE -ALLAH AMUHIFADHI-:

يقول الشيخ عبد المحسن العباد -حفظه الله – :

Anasema sheikh Abdul-Muhsin Al-abbad -Allah amuhifadhi-:

“لا يجوز أن يمتحن أي طالب علم غيره بأن يكون له موقف من فلان المردود عليه، أو الراد،

Haifai mtafuta elimu (mwanafunzi) yeyote kumtahini mwenzake (kuwa) awe na msimamo (unaoafikiana na yeye) kuhusu fulani aliyeradiwa au aliyeradi,

فإن وافق سلم، وإن لم يوافق بدع وهجر،

Kama akiafikiana naye (basi) amesalimika na kama hakuafikiana naye anatiwa kwenye bida’a na kuhamwa,

وليس لأحد أن ينسب إلى أهل السنة مثل هذه الفوضى في التبديع والهجر،

Na yeyote asiwanasibishie Ahlu-ssunnah na mfano wa fujo hizi katika kutiana katika bida’a na kuhamana ,

وليس لأحد أيضاً أن يصف من لا يسلك هذا المسلك الفوضوي بأنه مميع لمنهج السلف”

Na yeyote pia asimpe sifa (mbaya) yule asiyepita mapito haya ya fujo, kuwa yeye ni mwenye kuzembea/kuulegeza mfumo wa wema waliopita .

[رفقا أهل السنة بأهل السنة: ٢٢]

Maelezo ya mfasiri:

إنا لله و إنا إليه راجعون

Nasaha za kushikwa hizi na kufanyiwa kazi kwetu sisi Ahlu-ssunnah, na kitabu hiki sheikh -Allah amuhifadhi- amekiandika muda mrefu mno !

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo saba   11, 1445H ≈ Oct  26, 2022M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz

         •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *