MAPENZI YETU KWA AHLU L-BAIT

๐Ÿ’Ž ุฃู‡ู„ ุงู„ุณู‘ูู†ุฉ ูˆุขู„ ุจูŠุช ุงู„ู†ุจูŠ ู…ุญู…ุฏ ๏ทบ.

Ahlu sunnah na watu wa nyumbani kwa Mtume Muhammad -swala na salamu za Allah zimfikie -.

ุฅุฐุง ู‚ุฑุฃุช ูƒูุชุจ ุงู„ุงุนุชู‚ุงุฏ ูˆุงู„ุณู‘ูู†ุฉ – ุนู†ุฏ ุฃู‡ู„ ุงู„ุณู‘ูู†ุฉ -ุŒ ูˆุงุณุชู…ุนุช ู„ุนู„ู…ุงุฆู‡ู…ุŒ ููŠ ูƒู„ ุจู„ุฏุŒ ูˆูƒู„ ุฒูŽู…ูŽู†:

Pindi usomapo vitabu vya itikadi na sunnah kwa Ahlu sunnah na ukawasikiliza wanawachuoni wao katika kila mji na kila zama :

ยซูู„ู† ุชุฌุฏ ุฅู„ุง ุงู„ุซู†ุงุก ูˆุงู„ู…ุญุจุฉ ูˆุงู„ู…ูˆุงู„ุงุฉ ูˆุงู„ูƒู„ุงู… ุงู„ุฌู…ูŠู„ ูˆุฐููƒุฑ ุงู„ูุถุงุฆู„ ุงู„ุฎุงุตุฉ ูˆุงู„ุนุงู…ุฉ ู„ุขู„ ุจูŠุช ุงู„ู†ู‘ูุจูˆุฉยป

โ€œBasi hautopata kutoka kwao isipokuwa ni sifa na mapenzi na kuwanusuru na maneno mazuri na kutaja fadhila haswa na za ujumla za watu wa nyumbani kwa Mtume -swala na salamu za Allah zimfikie-โ€

ู…ูู†:

ยซุฒูˆุฌุงุช ุงู„ู†ุจูŠ ๏ทบุŒ ูˆุฃุจู†ุงุฆู‡ ูˆุจู†ุงุชู‡ุŒ ูˆุนู„ูŠ ุจู† ุฃุจูŠ ุทุงู„ุจ ูˆุงู„ุญุณู† ูˆุงู„ุญุณูŠู†ุŒ ูˆุจุงู‚ูŠ ุขู„ ุนู„ูŠุŒ ูˆุขู„ ุฌุนูุฑุŒ ูˆุขู„ ุนู‚ูŠู„ุŒ ูˆุขู„ ุนุจุงุณุŒ ูˆุบูŠุฑู‡ู…ยป.

Kama vile wake za Mtume -swala na salamu za Allah zimfikie- na watato wake wa kiume na mabinti zake, na Aliyy bin Abitwalib na Hasan na Husain na waliobakia katika familia ya Aliyy na familia ya Jafar na familia ya A’qiil na familia ya Abbas na wengineo wasiokuwa haoโ€

ูˆู„ู† ุชุฌุฏ ู…ูุซู„ ู‡ุฐุง ุนู†ุฏ:
ยซุงู„ุดู‘ููŠุนุฉ ุงู„ุฑุงูุถุฉยป.

Na hautokuta mfano wa hili kwa Mashia Arrafidhwah .

โœ๏ธ ูˆูƒุชุจู‡ :

Ameyaandika (maneno haya) :

ุนุจุฏ ุงู„ู‚ุงุฏุฑ ุงู„ุฌู†ูŠุฏ.
ู…ูู† ุขู„ ุญุณูŠู† ุจู† ุนู„ูŠ ุจู† ุฃุจูŠ ุทุงู„ุจ – ุฑุถูŠ ุงู„ู„ู‡ ุนู†ู‡ -.

Abdul-Qadir Al-Junaid katika kizazi cha Husain bin Aliy bin Abii Twalib -Allah amridhie – .

Maelezo ya mfasiri:

Hii ndiyo itikadi ya Ahlu sunnah kwa Ahlu l-bait yaani watu wa nyumbani kwa Mtume -swala na salamu za Allah zimfikie – na aliyeandika maneno haya ni mmoja katika masheikh wa Sunnah ambaye kizazi chake kinaungana na swahaba Aliyy bin Abii Twalib – Allah amridhie-lakini kama alivyoeleza sheikh -Allah amuhifadhi -kuwa hautolikuta hili kwa Mashia bali utakuta kinyume chake :

Ni kuchupa mipaka katika kuwependa watu wa nyumbani kwa Mtume – swala na salamu za Allah zimfikie – na kuwatukana wake za Mtume -swala na salamu za Allah zimfikie – ambao ni katika watu wa nyumbani kwa Mtume -swala na salamu za Allah zimfikie – lakini wao wanadai kuwa wakeze si katika Ahlu l-bait, ama matusi yao na kufurisha kwao maswahaba wengine wa Mtume -swala na salamu za Allah zimfikie- wasiokuwa wakeze hilo tena usiulize, kwa sababu ni katika misingi ya dini yao, na hapa sitoenda mbali na nyumbani nitazunguka hapa hapa ndani ya nchi yetu Tanzania, nawaletea sehemu kidogo ya maneno ya sheikh wa kishia hapa Tanzania naye ni Mayunga namna alivyokuwa akijaribu kumtukana mama yetu Aisha – Allah amridhie- katika tafsiri yake baada ya kunukuu hadithi kadhaa na kuzifasiri kwa kufuata matamanio yake kisha akasema hivi :

Kwa hiyo,fitna na ukafiri vitaanzia kwa Mwana Aisha (mkewe Mtume) .

Rejea :

[Qur’an inayobainisha Tarjama na Tafsir Kiarabu na Kiswahili,Na : Ali Juma Mayunga, angalia tafsiri ya suuratun nnisaa ,ukurasa wa 207 ]

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: โ˜Ÿ
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: โ˜Ÿ
https://t.me/fawaidussalafiyatz

๐Ÿ—“๏ธ Imeandaliwa: Mfungo nne 10, 1446H โ‰ˆ Jul/16, 2024M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz

         โ€ขโ”ˆโ”ˆโ”ˆโ”ˆโ€ขโœฟโโœฟโ€ขโ”ˆโ”ˆโ”ˆโ”ˆโ€ข

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *