AL-KHOMAINIY ANASEMA : HAKIKA MTUME- SWALA NA SALAMU ZA ALLAH ZIMFIKIE- HAKUFUZU NA WALA HAKUFAULU KATIKA KULINGANIA KWAKE .

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net

الخميني يقول : إنّ النبي – صلى الله عليه وسلم- لم يُفلحْ ولم ينجح في دعوته .

AL-KHOMAINIY ANASEMA : HAKIKA MTUME- SWALA NA SALAMU ZA ALLAH ZIMFIKIE- HAKUFUZU NA WALA HAKUFAULU KATIKA KULINGANIA KWAKE

قال الخميني -الهالك:

Amesema Al-khomainy-Aliyeangamia :-

“فكل نبي من الأنبياء إنما جاء لإقامة العدل وكان هدفه هو تطبيقه في العالم لكنه لم ينجح ، وحتى خاتم الأنبياء – صلى الله عليه وسلم-الذي كان قد جاء لإصلاح البشر وتهذيبهم وتطبيق العدالة فإنه أيضا لم يوفق، وإن من سينجح بكل معنى الكلمة و يطبق العدالة في جميع أرجاء العالم هو المهدي المنتظر ”

“Basi kila mtume katika Mitume hakika si vinginevyo (kila Mtume) amekuja ili kusimamisha uadulifu na lengo lake lilikuwa ni kuupitisha (uadilifu) katika ulimwengu lakini hakufaulu,na hata Mtume wa mwisho -swala na salamu za Allah ziwe juu yake- ambaye bila shaka alikuja kuwafanya fiumbe watengemae na kuwanyoosha kiadabu na kutekeleza uadilifu basi kwa hakika yeye (Muhammad) pia HAKUWAFIKISHWA NA KWA HAKIKA YULE ATAKAYE FAULU KWA MAANA YOTE YA KUFAULU NA ATAUPITISHA UADILIFU KATIKA PANDE ZOTE ZA ULIMWENGU NA HUYO (SI MWINGINE BALI NI) NI AL- MAHDIY MWENYE KUNGOJEWA”

📚 Rejea:-

مختارات من أحاديث وخطابات الإمام الخميني ٤٢/٢

.(Maneno) yaliyochaguliwa kutoka katika hadithi na khutba za Imamu Al-khomainy 2/42

MAELEZO:-✍🏾

Yaani Mtume-swala na salamu za Allah ziwe juu yake-hakufaulu katika kulingania kwake na atakayefaulu ni yule Imamu wao wa kubuni wanayemsubiri!! haya no matusi makubwa kabisa juu ya Mtume-swala na salami za Allah zimfikie- enyi Mashia hivi nyinyi ni waislamu kweli, kama munavyodai ?

Na je munajua ni kwanini anasema kuwa Mtume- swala na salamu za Allah zimfikie hakufaulu na kupata mafanikio katika kulingania kwake ?!

Ni kwa sababu wao wanaitikadi kuwa maswahaba wote waliritadi na kurudi katika ukafiri baada ya Mtume-swala na salamu za Allah zimfikie- kufariki , na hawakubakia katika uislamu isipokuwa wachache mno hawavuki watano ! hii ndiyo itikadi ya dini ya Kishia .

Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Iliandaliwa Swafar 28,1439 ,ikahakikiwa na kurushwa tena Shawwal 10, 1442H ≈ May 22, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *