ATHARI YA MWANAMKE KATIKA MAISHA YA MUMEWE .

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net

ATHARI YA MWANAMKE KATIKA MAISHA YA MUMEWE

Makala no:06

Kutoka kwa sheikh Muqbilu bin Hadiy-Allah amrahamu

فالمرأة قد تتأثر بالرجل ، والرجل قد يتأثر بالمرأة ، وعمران بن حطان الخارجي كان رجلاً من أهل السنة وكانت له ابنة عم قد تأثرت برأي الخوارج ، فأراد أن يتزوجها من أجل أن ينقذها ، بعد ذلكم سحبته هي إلى رأي الخوارج ، والرسول صلى الله عليه وعلى آله وسلم يقول : ” : الرجل على دين خليلة فلينظر أحدكم من يخالل”.

Basi mwanamke huwenda akaathirika na mwanaume,na mwanaume anaweza akaathirika na mwanamke, Imran bin Hattwan (ambayeni ktk) makhawariji alikuwa ni katika watu wa sunnah na alikuwa na binti wa baba yake mdogo ambaye alikuwa ameathirika na rai za Makhawariji basi (yeye) alitaka kumuoa ili amuokoe ,baada ya hapo (huyo mwanamke) akamvuta huyo (mwanaume) katika rai za Makhawariji ,na Mtume swala na salam za Allah ziwe juu yake, anasema : “mtu hufuata mwenendo wa rafiki yake , basi na aangalie mmoja wenu nani anayemfanya rafiki”.

⬅ يحتاج الرجل أن يتحرى المرأة الصالحة ، وبحمد لله في نساء صالحات فاضلات في كثير من البلاد الإسلامية ، وهناك رجال صالحون أفاضل ، وإنني أنصح بتكوين الأسر الصالحة من أول الأمر ، يحرص على المرأة الصالحة ، وهي تحرص على الرجل الصالح ، والحمد لله رب العالمين .

Anahitajika mwanaume afanye juhudi kutafuta mwanamke mwema,na sifa njema ni za Allah wapo wanawamke wema walio wabora wengi katika miji mingi ya kiislam, na kuna wanaume wema walio wabora , na hakika mimi natoa nasaha ya kutengeneza familia bora tokea mwanzoni jambo (la ndoa) ,mwanaume apupie juu ya mwanamke mwema na mwanamke apupie juu ya mwanaume mwema, na sifa zote ni za Allah mlezi wa kila kiumbe.

من شريط : (أسئلة نساء تعـــز: اليمن •• 🇾🇪 •• ).

Kutoka katika ksseti ya (maswali ya wanawake wa Ta’az- Yaman)

▪️▫️▪️▫️▪️▫️
Kwa kusikiliza sauti (bonyeza hapa) :

🔈 للإستماع للصوتية :

Maelezo :

Mwanaume apupie kutafuta mwanamke mwenye dini ,na pia mwanamke atafutiwe na walezi wake mwanaume mwenye dini ,kwa sababu huu ni msingi wa kwanza katika kujenga familia bora yenye kumuabudu Allah ,na yenye maadili mema.

Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Shawwal,26 , 1442H ≈ May 29, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *