ATHARI YA MWANAMKE KATIKA MAISHA YA MUMEWE (NO. 03)

https://t.me/fawaidussalafiyatz Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net

ATHARI YA MWANAMKE KATIKA MAISHA YA MUMEWE

Makala no: 03

لفضيلة الشيخ مقبل بن هادي الوادعي رحمه الله

(Maneno) ya Sheikh Muqbilu bin Hadiy Alwaadi’i – Allah amrehemu –

السؤال:

Swali:

الشاب المتمسك إذا لم يجد امرأة ملتزمة بالدين فماذا يفعل وهل يتزوج ثم يربيها على كتاب الله وسنة رسول الله؟

Kijana aliyeshikamana na dini atakapokuwa hajapata mwanamke aliyeshikamana na dini afanye nini? Je, aoe kisha amlee huyo mke katika kitabu na sunnah ya Mtume wa Allah swala na salamu za Allah ziwe juu yake?

📚 الجواب:

Jawabu:

الذي أنصح به إخواننا المتمسكين بالدين، والأخوات أيضاً أن يحرص كل منهم، المرأة تحرص على الزواج بالرجل الصالح، والرجل يحرص على الزواج بالمرأة الصالحة.

Ambalo nawanasihi ndugu zangu walioshikamana na dini, na akina dada pia ni kwamba apupie kila mmoja miongoni mwao, mwanamke apupie juu ya kumpata mume mwema, na mwanaume apupie juu ya kumpata mke mwema.

🔦 من شريط: (أسئلة نساء تعـــز: اليمن)

Kutoka katika kaseti (Maswali ya wanawake wa Ta’az -Yaman)

🔈 للإستماع للصوتية:

Kwa kusikikiza sauti (bonyeza hapa) https://muqbel.net/files/fatwa/muqbel-fatwa1083.mp3

Maelezo: Kumpata mume/mke mwema ni sababu ya kupata familia bora kwa sababu wakiwa wote ni wema watasaidiana katika wema na kumuogopa Allah pia wataweza kukisimamia kizazi watakachoruzukiwa na Allah katika kuifuata dini. Inaendelea – Usikose sehemu ya pili katika nasaha za Sheikh Allah amrehemu…

Muandaaji: fawaidusalafiya.net Tembelea website yetu: ☟ https://www.fawaidusalafiya.net Telegram bonyeza hapa: ☟ https://t.me/fawaidussalafiyatz 🗓️ Imeandaliwa: Shawwal 9 1442H ≈ May 21, 2021M.

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

DARSA ZA NDOA INGIA HAPA: ⤵️ https://t.me/Darasazandoa

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾 https://t.me/fawaidussalafiyatz https://t.me/fawaidussalafiyatz •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *