قال الشيخ صالح_الفوزان -حفظه الله- Amesema shekh Saleh Alfauzan Allah- amuhifadhi- الدُّعاء هو مفتاح خزائن الله جلّ وعلا، Dua ni funguo za hazina za Allah- aliyetukuka na aliyekuwa juu-, فإذاأردتَ…
◾️ قال ابن القيم رحمه الله :Amesema ibn l-Qayyim-Allah amrahamu-: "أكثر أصحاب القبور معذبين، والفائز منهم قليل، Wengi zaidi katika watu wa makaburini ni wenye kuadhibiwa ,na mwenye kufaulu miongoni…
قال ابن القيم رحمه الله: Amesema ibn l-Qayyim-Allah amrahamu-: وقال أحمد بن مروان المالكي في كتاب «المجالسة» له: Amesema Ahmad bin Mar-wan Al-malikiy katika kitabu chake “Al-mujaalasah” : حدثنا زكريا…
قال الفضيل بن عياض-رحمه الله - : Amesema Al-fudhail bin 'Iyadh -Allah amrahamu-: إذا ظهرت الغيبة ارتفعت الأخوة في الله. Kutakapodhihiri usengenyi, huondoka undugu kwa ajili ya Allah إنما مثلكم…
قال ابن الجوزي رحمه الله : Amesema ibn l-Jauziy- Allah amrahamu-: " والله لا يبقى في القيامة إلا الإخلاص ، Naapa kwa Allah hakutobakia (siku) ya kiama isipokuwa matendo yaliyofanywa…
قال ابن رجب الحنبلي رحمه الله : Amesema ibn Rajab Al-Hanbaliy -Allah amrahamu-: وأما أعياد المؤمنين في الجنة فهي أيام زيارتهم لربهم عز وجل، Ama sikukuu za waumini peponi, ni…
قال الإمام ابن رجب الحنبلي -رحمه الله- : Amesema imamu ibn Rajab Al-hanbaliy -Allah amrahamu-: الدُّنيا كلها شهر صيام المتقين وعيد فطرهم يوم لقاء ربهم (Maisha ya) dunia yote ni…
https://t.me/fawaidussalafiyatz Website ingia hapa: http://www.fawaidusalafiya.net DARAJA ZA KISIMAMO CHA KUITAFUTA LAILATUL- QADIR (USIKU WA CHEO) مراتب قيام ليلة القدر المستحبة أربعة: Daraja za kusimama usiku wa cheo zilizosuniwa ni nne:…
قال الحسن البصري رحمه الله تعالى : Amesema Al-hasan Al-basriy- Allah aliyetukuka amrahamu-: "أصول الشَّرِّ ثلاثة:- Misingi ya shari ni mitatu: الحَسَد، والحِرْص، وحُبُّ الدُّنيا. Husuda, na pupa (ya mabaya)…