🎙 قال ابن القيم - رحمه الله-: AMESEMA IBNU-L QAYYIM: -ALLAH AMRAHAMU-: ”اطلب قلبك في ثلاثة مواطن: UTAFUTE MOYO WAKO KATIKA SEHEMU TATU:- ١- عند سماع القرآن 1- WAKATI WA…
YANAYOHUSIANA NA FUNGA YA RAMADHANI (NO. 6) كفارة المرأة المرضعة. ☞ Kafara ya mwanamke mwenye kunyonyesha السؤال: Swali: 📂 إذا كانت المرأة ترضع وخافت على نفسها، Pindi atakapokuwa mwanamke ananyonyesha…
Makala namba (5) حكم قراءة القرآن في المصحف في صلاة التراويح. ☞ Hukumu ya kusoma Qur'ani katika msahafu katika swala ya taraweh السؤال:Swali: 📂 هل تصح القراءة من المصحف في…
Makala namba (4) القراءة أم الحفظ ؟ Kusoma (Qur'ani) au kuhifadhi ? السؤال: Swali: 📂 هل الأفضل في شهر رمضان قراءة القرآن، أم القراءة والحفظ، Je, ni bora zaidi katika…
Makala namba: 2 Aina ya pili ya vyakula: Vyakula ambavyo muuzaji hajui kuwa mnunuzi atavitumia muda gani mchana au usiku?, kama vile mchele, maharage mabichi, viungo mbalimbali kama vile vitu…
Makala namba: 1 Vyakula vimegawanyika sehemu mbili: 1 - Vyakula ambavyo dhana yenye nguvu inahukumu kuwa mnunuzi atakula muda ule ule kwa sababu ya sifa ya hicho chakula na haja…
YANAYOHUSIANA NA FUNGA YA RAMADHANI (NO. 3) الأعمال الخيرية في رمضان. ☞ Matendo ya heri katika (mwezi wa) Ramadhani السؤال: Swali: 📂 ما هي الأعمال الخيرية المرغوب فيها في شهر…
Makala namba (2): الاستمناء في رمضان. ☞ Kupiga punyeto (masturbation) katika (mchana wa) Ramadhani السؤال: Swali: 📂 من استمناء نهار رمضان فهل عليه كفارة مع القضاء ؟ Mwenye kupiga punyeto…
Makala namba (1) نزول المذي في رمضان. ☞ Kutokwa na madhii mchana wa Ramadhani السؤال: Swali: 📂يقول: Anasema (muulizaji): رجل قبل امرأته في نهار رمضان، Kuna mtu amembusu mke wake…
Makala namba (5) : ◾️ سُـئلـت اللّجنة الدائمة للإفتاءبرئاسة الشَّــيخُ العلّامــة/عـبدُ الـعَزِيـز بن بـاز -رحمهُ الله - Iliulizwa kamati ya kudumu ya kutoa fatwa chini ya uongozi wa mwanachuoni mkubwa…