🔺قالَ تعالى:
{ لَهُمُ البُشرى فِي الحَياةِ الدُّنيا وَفِي الآخِرَةِ }
Amesema (Allah) aliyetukuka-:
{{ Wao wana bishara njema katika maisha ya dunia na katika Akhera }}.
[يونس:٦٤]
✍ قال الإمام ابن القيم -رحمه الله – :
Amesema imamu ibn l-Qayyim-Allah amrahamu-:
• قالَ ابنُ عباس رضي الله عنه:
⏪ بُشْرى الحياة الدنيا: هي عند الموت تأتيهم ملائكةُ الرحمة بالبشرى من الله.
Amesema ibn Abbas-Allah amridhie-:
Bishara njema ya maisha dunia : Hiyo ni wakati wa kifo watamjia Malaika wa rehma na bishara itokayo kwa Allah.
⏪ وفي الآخرة: عند خروج نفس المؤمن إذا خرجت يعرجون بها إلى الله، تزف كما تزف العروس، تُبَشَّرُ برضوان الله.
Na katika akhera : Ni pindi inapotoka nafsi /roho ya muumini baada ya kutoka, (Malaika) hupanda nayo kwa Allah husindikizwa kama anavyosindikizwa bibi harusi (na) hubashiriwa kwa (kupata) radhi za Allah.
📚مدارج السّالكين ( ١٥١/٣ ).
Maelezo ya mtarjumu:
Muumini hubashiriwa mara mbili :
1-Pindi anapotolewa roho humjia Malaika na kumuambia maneno yenye bishara njema ya pepo na ya kumfurahisha .
2- Baada ya kutolewa roho pindi itakapokuwa inapandishwa mbinguni mpaka mbingu ya saba hupewa bishara njema za kupata radhi za Allah,kama ilivyothibiti katika hadithi.
Mfasiri : Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Mfungo nane 4, 1443H ≈ Dec 7, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•