ذكر الاستيقاظ من النوم Nyiradi ya kuamka kutoka usingizini الحَمْدُ لله الذِي أحْيَانا بَعْدَ مَا أمَاتَنَا وإلَيْهِ النَشُور " Sifa zote njema ni za Allah ambaye ametufufua baada ya kutufisha…
قال تعالى Amesema (Allah) aliyetukuka: وَلَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنْسَانَ مِنْ سُلَالَةٍ مِنْ طِينٍ { Na bila shaka tumemuumba mwanadamu kutokana na udongo uliotolewa kila sehemu } المؤمنون 12 Al-muuminuun (12) التفسير…
قال تعالى Amesema (Allah) - aliyetukuka-: هو أعلم بكم إذ أنشأكم من الأرض سورة النجم { Yeye anawajua zaidi nyinyi pindi alipowaumba kutokana na ardhi (alipomuumba Adamu) } قال الشيخ…
قال تعالى Amesema (Allah) - aliyetukuka: وما تدري نفس بأي أرض تموت { Na wala nafsi haijui itakufa katika ardhi gani } قال شيخنا ابن عثيمين رحمه الله Amesema Sheikh…
Anasema muulizaji: Je, inaruhusiwa kwa muislamu kusoma nyota na kupata faida (kujua) mambo ya baadae kutoka katika hizo (nyota), bila ya kuitakidi kufaa kwake? Jawabu (la Sheikh): Tunamuomba Allah afya,…
قال الله تعالى-: Amesema Allah - aliyetukuka-: وإذا النُّفوسُ زُوِّجت { Na pindi nafsi zitakapokusanywa } أي: حشرت مع نظائرها Maana yake: Zitakusanywa pamoja na zinazolingana nazo (katika matendo). قال…
(Sheikh); Atakapokuwa mwanzoni mwake basi ataikata, ikiwa itampita rakaa (moja). Ama akiwa mwishoni mwake basi bila shaka ataikamilisha hiyo (swala). Ndio Maelezo: Itakapokimiwa swala ya faradhi hali ya kuwa mtu…
Sheikh: Ndio. (Mfikishaji swali): Allah akufanyieni ihsani - Mtu ambaye amepewa mtihani wa balaa la kutizama (haramu/machafu), vipi atajizuia na balaa hili na hali ya kuwa yeye anapambana na nafsi…
Allah awalipe kheri; Sheikh Swaalih: Uvivu ambao humtokea mwenye kutafuta elimu katika kutafuta kwake elimu na kuchukua masurufu katika elimu ya kisheria, ni ipi tiba yake ewe sheikh? (Jawabu): Kwa…