MUUMINI ANAVYOATHIRIKA NA QURANI.

• قال تعالى : Amesema (Allah) aliyetukuka-: ﴿ وَالبَلَدُ الطَيِّبُ يَخْرُجُ نَبَاتُهُ بِإِذْنِ رَبِّهِ ﴾ Na ardhi nzuri hutoa mimea yake (mizuri) kwa idhini ya Mola wake Mlezi. الأعراف :…

MWENYE KUTAKA KUFUNGUKIWA NA NJIA YA UONGOFU

قال شيخ الإسلام ابن تيمية - رحمه الله - Amesema Sheikh l-islam ibn Taimiyyah - Allah amrahamu-: إِذَا افتَقَرَ العَبدُ إلى اللَّهِ ودَعَاهُ وأدمَنَ النَّظَرَ في كلامِ اللَّهِ وكَلامِ رَسُولِهِ…

HATARI YA KUCHUMA MALI KWA NJIA ZA HARAMU.

Makala namba (1) . 🔺 قال العلامة العثيمين رحمه الله: Amesema mwanachuoni mkubwa ibn Uthaimin -Allah amrehemu- ▪️ القاعدة: (كل من أخذ المال بغير حقه فإنه يبتلى بالشح كالذي يأكل…

HALI YA MWANADAMU PINDI ANAPOWEKWA KABURINI

https://t.me/fawaidussalafiyatz Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net HALI YA MWANADAMU PINDI ANAPOWEKWA KABURINI! Amesema Sheikh Swaalih Fauzaan Al-fuzaan - Allah amuhifadhi ❝ Kwa ajili hii hujaribiwa maiti anapowekwa kaburini kwake, basi humjia…

Misingi mitatu na dalili zake .Makala namba (17)

⬅️ ودليل التوكل قوله تعالى: {‎وَعَلَى اللَّهِ فَتَوَكَّلُوا إِنْ كُنْتُمْ مُؤْمِنِين‎}🌱 Na dalili ya kutegemea ni kauli yake Allah aliyetukuka: {Na tegemeeni juu Allah pekee ikiwa nyinyi ni wenye kuamini}.…

UBORA WA KUWA NA MARAFIKI WEMA.

Amesema Allah-aliyetukuka- akielezea yale watakayo yazungumza makafiri siku ya kiama: ” فَمَا لَنَا مِن شَافِعِينَ “ ” وَلا صَدِيقٍ حَمِيمٍ“ “Basi hatuna waombezi”“Wala rafiki khalisi” الشعراء : (١٠٠ - ١٠١)…