makala namba (6): قال تعالى: Amesema (Allah) aliyetukuka-: { إِذْ جَاءَ رَبَّهُ بِقَلْبٍ سَلِيمٍ } {Kumbuka pindi (Ibrahim) alipomjia Mola wake mlezi kwa moyo uliosalimika } الصافات: ٨٤. قال العلامة…
makala namba (5) قال_تعالى: Amesema (Allah) aliyetukuk-: { ۗ وَمَن يُؤْمِنۢ بِٱللَّهِ يَهْدِ قَلْبَهُۥ ۚ } { Na yeyote mwenye kumuamini Allah huuongoza moyo wake} قال ابن عباس رضي الله…
Makala namba (3) قال الله تعالى : Amesema Allah aliyetukuka: ﴿إِنَّ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ سَيَجْعَلُ لَهُمُ الرَّحْمَٰنُ وُدًّا﴾ Hakika wale walioamini na wakafanya mema (Allah) Mwingi wa rehema atawafanyia…
Makala namba (2) قال الله تعالى : Amesema Allah aliyetukuka-: {وَاللهُ لا يَهْدِي القوْمَ الظّالِمينَ} {Na Allah hawaongozi watu madhalimu} البقرة: ٢٥٨. ▪️قال العلامة ابن عثيمين -رحمه الله-: Amesema mwanachuoni…
۞ قال الله تعالى : Amesema Allah -aliyetukuka-: ﴿ إِذْ أَوَىٰ الْفِتْيَةُ إِلَىٰ الْكَهْفِ ﴾ { Pindi vijana walipokimbilia katika pango } قال العلَّامة عبد الرحمٰن السعدي رحمه الله: Amesema…
قال تعالى حاكيا عن يوسف-عليه السلام- . Amesema (Allah) -aliyetukuka- hali akisimulia kuhusu Yusufu- amani iwe juu yake-. يَٰصَىٰحِبَىِ ٱلسِّجْنِ ءَأَرْبَابٌ مُّتَفَرِّقُونَ خَيْرٌ أَمِ ٱللَّهُ ٱلْوَٰحِدُ ٱلْقَهَّارُ (٣٩) “Enyi wafungwa…
🔺قالَ تعالى: { لَهُمُ البُشرى فِي الحَياةِ الدُّنيا وَفِي الآخِرَةِ } Amesema (Allah) aliyetukuka-: {{ Wao wana bishara njema katika maisha ya dunia na katika Akhera }}. [يونس:٦٤] ✍ قال…
https://t.me/fawaidussalafiyatz Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net قـال العلاَّمة ابن سعدي - رحمہ الله تعالـﮯٰ - Amesema Mwanachoni mkubwa ibn Saa'dy -Allah amrahamu-: هذا من مكارم الأخلاق التي أمر الله رسوله ﷺ…