16 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida /itikadi kwa vitoto vidogo (chipukizi)
س: ١٦ Swali no. 16: مَنْ هُمْ الْمَلَاءِكَةُ؟ Ni nani hao Malaika? ج: Jawabu: هُمْ خَلْقٌ خَلَقَهُمُ اللََّٰهُ مِنْ نُوْرٍ. Hao (Malaika) ni viumbe (ambavyo) ameviumba Allah kutokana na nuru.…