NYIRADI KWA ANAYEONA VITISHO USINGIZINI.

https://t.me/fawaidussalafiyatz Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net جاء رجلٌ إلى النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم فشكا إليه أهاويلَ يراها في المنام،فقال : (Kuna) mtu alikuja kwa Mtume -swala na salam za Allah…

003 – Adhkari /nyiradi za asubihi (no. 02)

☞ Tarjama na faida katika Surat al-Ikhlaas; بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ. Kwa majina ya Allah mwingi wa Rahma na Mwenye kurehemu. قُلْ هُوَ اللّٰهُ أَحَدٌ ﴿١﴾ اللّٰهُ الصَّمَدُ ﴿٢﴾ لَمْ…

003 – Adhkari /nyiradi za asubihi (no. 02)

☞ Kusoma: Surat al-Ikhlaas, Surat al-Falaq na Suratu Nnas, Kila Sura moja mara tatu tatu. 1. Surat al-Ikhlaas; بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ. قُلْ هُوَ اللّٰهُ أَحَدٌ ﴿١﴾ اللّٰهُ الصَّمَدُ ﴿٢﴾…

003 – Adhkari /nyiradi za asubihi (no. 01)

☞ Kusoma Ayatul-kursiy asubihi na jioni. أَعُوذُ بِاللَّهِ مِنَ الشَّيطَانِ الرَّجِيمِ Nakimbilia/najikinga kwa Allah kutokana na shetani aliyefukuzwa katika rehema za Allah. اللَّهُ لَا إِلَهَ إِلَّا هُوَ الْحَيُّ الْقَيُّومُ لَا…

002 – Nyiradi inayosomwa pindi mtu atakapozinduka usingizini au anapoamka

لاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ وَحْدَهُ لاَ شَرِيكَ لَهُ لهُ الْمُلْكُ وَلَهُ الحَمْدُ وَهُوَ عَلَى كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ سُبْحَانَ اللَّهِ وَالحَمْدُ للَّهِ وَلاَ إِلَهَ إِلاَّ اللَّهُ وَاللَّهُ أَكبَرُ وَلاَ حَوْلَ وَلاَ…