20 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida /itikadi kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س: ٢٠ Swali no. 20: كَيْفَ نُؤْمِنُ بِالرُّسُلِ؟ Vipi tunawaamini Mitume? ج: Jawabu: بالتَّصْدِيْقِ بِهِمْ (Tunawaamini) kwa kuwasadikisha. سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد بن مبارك بن قذلان…

17 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida /itikadi kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س: ١٧ Swali no. 17: مَا مَعْنَى الْإِيْمَانِ بِالكُتُبِ؟ Nini maana ya kuamini vitabu? ج: Jawabu: التَّصِدِيْقُ بِهَا. (Maana yake) ni kuvisadikisha. سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد…

14 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida /itikadi kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س: ١٤ Swali no. 14 هَلْ يَسْتَحِقُّ الْمَخْلُوقُ الْعِبَادَةَ؟ Je, kiumbe anastahiki kuabudiwa? ج: Jawabu: لَا يَسْتَحِقُّ الْعِبَادَةَ أَحَدٌ إلَّا اللّٰهُ. Hakuna yeyote yule anayestahiki kuabudiwa isipokua Allah. سلسلة بطاقات:…

13 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida /itikadi kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س :١٣ Swali no: 13 مَا هُوَ الشِّرْكُ؟ Ushirikina ni nini? ج Jawabu: هُوَ عِبَادَةُ غَيْرِ اللّٰهِ Shirki ni kumuabudu asiyekua Allah. سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف: د. أحمد…

12 – Mtiririko /Mfululizo wa makala za vikadi vya aqida /itikadi kwa vitoto vidogo (chipukizi)

س: ١٢ Swali no. 12: مَا هُوَ أَعْظَمُ ذَنْبٍ؟ Ni ipi dhambi kubwa zaidi? ج: الشٌِرْكُ بِاللّٰهِ تَعَالَى Jawabu: Ni kumshirikisha - Allah aliyetukuka. سلسلة بطاقات: العقيدة لبراعم الإسلام, المؤلف:…