عن أبي أيوب الأنصاري – رضي الله عنه:
Kutoka kwa Abuu Ayyub Al-answariy – Allah amridhie:
أن رسول الله – صلى الله عليه وسلم، قال:
Kwamba mtume wa Allah – swala na salamu za Allah zimfikie, amesema:
من صام رمضان ثم أتبعه ستا من شوال،
Yeyote mwenye kufunga Ramadhani kisha akafuatilizia (siku) sita za Shawwal,
كان كصيام الدهر.
Atakuwa kama vile yule aliyefunga mwaka mzima.
📚 رواه مسلم
قال الشيخ صفي الرحمن المباركفوري – رحمه الله:
Amesema Sheikh Safiyyu Rrahman Al-mubarakafuriy – Allah amrahamu:
أي كصيام السنة كاملة،
Maana yake kama vile kufunga mwaka mzima ulio kamilika,
وذلك لأن الحسنة بعشر أمثالها،
Na hilo (ni) kwa sababu jema (moja hulipwa) kwa (kupewa) kumi mfano wake,
فصيام شهر رمضان بعشرة أشهر،
(Basi) funga ya mwezi wa Ramadhani (sawa) na (kufunga) ya miezi kumi,
وست من شرال بشهرين.
Na siku sita za Shawwal (sawa) na (kufunga) miezi miwili,
📚 انظر: بلوغ المرام من أدلة الأحكام مع تعليقه إتحاف المرام، (ص 191)
Faida: Kwa hiyo miezi kumi (10) ukijumlisha na miezi miwili (2) ni sawa na miezi kumi na mbili (12), Na ni sawa na mwaka mmoja.
Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Mfungo Mosi 3, 1443H ≈ May 4, 2022M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•