FAIDA KUTOKA KATIKA QURAN

makala namba (6):

قال تعالى:

Amesema (Allah) aliyetukuka-:

{ إِذْ جَاءَ رَبَّهُ بِقَلْبٍ سَلِيمٍ }

{Kumbuka pindi (Ibrahim) alipomjia Mola wake mlezi kwa moyo uliosalimika }

الصافات: ٨٤.

قال العلامة عبد الرحمن السعدي – رحمه الله-:

Amesema mwanachuoni mkubwa Abdul-Rrahman Assi’idiy -Allah amrahamu-:

“من الشركِ و الشُّبَهِ و الشَّهوات المانعة من تصور الحق ، والعمل به، وإذا كان قلب العبد سليمًا ، سلم من كل شر ، وحصل له كل خير.

(Moyo) ulioepukana na ushirikina ,na utata na matamanio (mabaya) yenye kuzuia kuleta taswira ya haki, na kuifanyia kazi na pindi moyo wa mja utapokuwa umesalimika utasalimika kutokana na kila shari na utapata kila heri,

ومن سلامته أنه سليمٌ من غشِّ الخلق وحَسدِهم ،

Na katika kusalimika kwake kwamba huo (moyo unakuwa) ni wenye kusalimika na kuwahadaa viumbe na kuwahusudu,

وغير ذلك من مساوئِ الأخلاق، ولهذا نصح الخلق في اللّه ، وبدأ بأبيه وقومه”.

Na mengineyo yasiyokuwa hayo katika tabia mbaya na kwa ajili hii (Ibrahim) aliwanasihi viumbe kwa ajili ya Allah na alianza na baba yake na watu wake.

📚 تفسير السعدي -ص(٨٣١).

Maelezo ya mwandishi:

Mwenye moyo huu ndiye atakayefaulu na kuokoka na adhabu za Allah siku ya Kiama yaani ni moyo uliosalimika na maradhi ya moyo Kama vile Ushirikina, vifundo vya moyo, husuda,ubahili,kiburi,kuipenda dunia, n.k , kama alivyotaja ibn l-Qayyim -Allah amrahamu- katika kitabu chake Al-jawabu l-kaafiii.

Na amesema Allah -aliyetukuka-:

«يَوْمَ لَا يَنفَعُ مَالٌ وَلَا بَنُونَ ، إِلَّا مَنْ أَتَى اللَّهَ بِقَلْبٍ سَلِيمٍ»

“Siku ambayo hazitonufaisha mali wala watoto” .

“Isipokuwa yule aliyemjia Allah na moyo uliosalimika (safi)”

( الشُعَرَاء/الآيَة: ٨٨-٨٩).

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo kumi 17 , 1443H ≈ Feb 18, 2022M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *