makala namba (8)
معنى “حق تلاوته “
MAANA YA ” UKWELI WA KUISOMA (QURANI)”
قال الشيخ صالح الفوزان – حفظه الله-:
Amesema Sheikh Swaali Al-Fauzan – Allah amuhifadhi-:
في معنى قوله تعالى:
Katika maana ya kauli yake (Allah) – aliyetukuka:
﴿ الَّذينَ آتَيناهُمُ الكِتابَ يَتلونَهُ حَقَّ تِلاوَتِهِ أُولئِكَ يُؤمِنونَ بِهِ ﴾.
﴾ Wale ambao tuliowapa kitabu (Qur’ani) hukisoma ukweli wa kukisoma hao hukiamini (kitabu) hicho).
حَقَّ تِلاوَتِهِ: ليس هو مثل ما يظن بعض الناس أنه التجويد ومخارج الحروف والغنة والإدغام والمدود ليس هذا حق تلاوته إنما هذا كيفية تلاوته.
وحق تلاوته: العلم بمعانيه، والعمل به.
Ukweli wa kuisoma (Qur’ani): Si kama wanavyodhania baadhi ya watu kuwa hiyo ni Tajwiid na matokeo ya herufi na ghunnah na id’ghaam na madda, huu si ukweli wa kuisoma, bila shaka si vinginevyo hivi ni namna ya kuisoma.
Na ukweli wa kuisoma (ni): Kuijua maana yake na kuifanyia kazi.
📚 الأدلة التوضيحية على مقدمة الحموية ( ٩٩)
Maelezo ya Mfasiri:
Kuisoma Qurani ukweli wa kuisoma ni kujua maana yake na kuifanyia kazi kwa kutekeleza kile kinachoamrishwa na kuacha kile kinachokatazwa.
Ama kuisoma Qur’ani kwa hukumu za tajwiid huku si kuisoma Qur’ani ukweli wa kuisoma bali hivi ni namna ya kuisoma Qur’ani.
Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Mfungo kumi 22, 1443H ≈ Feb 23, 2022M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•