Makala namba (3)
فقلت: زدني، فقال: ليكن الصدق لسانك، والوفاء عمادك، والرحمة ثمرتك، والشكر طهارتك، والحق تجارتك، والتودد زينتك، والكياسة فطنتك، والطاعة معيشتك، والرضا أمانتك
Basi nikasema (tena) : Nizidishie : (Shafii) akasema :
Ukweli uwe ndiyo lugha yako, kutekeleza ahadi (kuwe ndiyo) nguzo yako, na huruma uwe ndiyo matunda yako, na kushukuru ndiyo twaharaka yako ,na haki ni biashara yako, na kujipendekeza ni pambo lako ,adabu ndiyo ufahamu wako, na twaa ndiyo maisha yako na kuridhia ndiyo amana yako.
تاريخ دمشق لابن عساكر ، ج ٥٣ ص٤٣١ من الشاملة
Maelezo ya mwandishi:
Imamu Shafii- Allah amrahamu- akaendelea kumuusia mwanafunzi wake Al-muzaniy – Allah amrahamu- kwa mambo yafuatayo:
1- Kushikamana na ukweli katika mazungumzo
2-Kutekeleza ahadi
3- Kuwa na huruma .
4- Kushukuru
5- Kushikamana na haki
6- Kujipendekeza kwa waislamu wenzako
7- Kuwa na adabu
8 – Kumtiia Allah kwa kumuabudu katika maisha yako.
9- Kuridhia kile alichokurudhuku Allah .
Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Mfungo tisa 12, 1443H ≈ Jan 15, 2022M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•