Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
ماذا يصنع السلف في شعبان :
Walikuwa wakifanya nini wema waliopita katika (mwezi) wa Shaabani ?
قال سلمة بن كهيل :
Amesema Salamah ibn Kuheil:
كان يقال شهر شعبان شهر القُرّاء.
Ulikua ukiitwa mwezi wa shabani ni mwezi wa wasomaji (quran).
و كان حبيب بن أبي ثابت إذا دخل شعبان قال؛
Na alikuwa Habib bin Abii Thaabiti unapoingia (mwezi) wa shaabani akisema:
هذا شهر القُرّاء.
Huu ni mwezi wa wasomaji (quran).
وكان عمرو بن قيس الملائي إذا دخل شعبان،
Na alikuwa Amru bin Qaysi Al-malaaiy unapoingia mwezi wa shabani,
أغلق حانوته و تفرغ لقراءة القرآن.
Hufunga duka lake na kujitenga kwa ajili ya kusoma Quran.
📚 لطائف المعارف (١٣٨)
Maelezo ya mpitiaji:
Kwa kuwa Ramadhani ni mwezi wa Qurani inatakiwa tujiandae kwa kuanza kuisoma Qurani ili inapoingia Ramadhani iwe ni wepesi kwetu kama walivyokuwa wema waliopita-Allah awarahamu.
Imepitiwa na : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Mfungo kumi 30, 1443H ≈ Mar 3, 2022M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•