قال الشيخ سليمان بن سليم الله الرحيلي- حفظه الله- :
Amesema sheikh Suleiman bin Salimillah Al-rruhailiy – Allah amuhifadhi-
الزخرفة التي استحدثت في العباءات، حتى أصبحت العباءة تحتاج إلى عباءة،
Mapambo ambayo yamezushwa katika mabaibui mpaka likawa baibui linahitajia (lifunikwe)na baibui (jingine),
وهذا لا يجوز، لأنّ المرأة لا يجوز لها أن تبدي الزينة، وهذه زينة في اللّباس ظاهرة.
Na hili halifai kwa sababu mwanamke haruhusiwi kudhihirisha mapambo, na hili (alilodhihirisha) ni pambo (lililopo) katika vazi lenye kudhihiri .
📚فقه اللباس والزينة ص٥٥
Maelezo ya mfasiri:
Amesema kweli sheikh -Allah amuhifadhi-baadhi ya mabaibui na hijabu za siku hizi zimepambwa kwa kuwekwa maua na mapambo mbalimbali kiasi ambacho hizo hijabu zenyewe zinahitajia kuveshwa hijabu ! , kwa sababu katika sharti za hijabu isiwe na mapambo ,kama alivyosema Allah -aliyetukuka- pale alipozungumzia hijabu:
وَلَا يُبْدِينَ زِينَتَهُنَّ
{ Na wala wasidhihirishe mapambo yao }
سورة النور ٣١ .
Kwa hiyo mwanamke anaponunua hijabu au anaposhona ahakikishe kuwa isiwe na mapambo .
Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Mfungo tano 15, 1443H ≈ Sep 11, 2022M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•