HILI LINAZIDISHA MAPENZI BAINA YAKO NA MKEO

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net

هــذا يزيد المحبة بينك وبين أهلك!

HILI LINAZIDISHA MAPENZI BAINA YAKO NA MKE WAKO!

قـال العلامة محمـد ابن العثيمين – رحمــہ اللــہ تعالــﮯ :

Amesema mwanachuoni mkubwa Muhammad bin Uthaimin -Allah amrahamu:

الإنسان إذا ڪان فـﮯ بيتــہ،
فمن السنة أن يصنــ؏ الشاي مثلا لنفســہ،
ويطبخ إذا كان يعرف،
ويغسل ما يحتاج إلى غسلــہ،
ڪل هذا من السنة،

Mtu anapokuwa nyumbani kwake,
basi miongoni mwa sunnah mfano : Ni kujitengenezea chai mwenyewe , na (pia) apike akiwa anajua ( kupika),
na aoshe (afue kile) kinacho hitajika kufuliwa (au kuoshwa),yote haya ni miongoni mwa
mwenendo wa Mtume- swala na salamu za Allah zimfikie-,

أنت إذا فعلت ذلك تثاب عليــہ ثواب سنة،
اقتداء بالرسول – عليـہ الصلاة والسلام،
وتواضعا للــہ – عز وجل،
ولأن هذا يوجد المحبة بينك وبين أهلك (زوجتك)،

wewe (mume) utakapo yafanya hayo utapata thawabu za (kutekeleza) sunnah,
Kwa kumuiga Mtume wa Allah -swala na salamu za Allah ziwe juu yake,
na (katika hilo kuna) kumnyenyekea Allah-aliyeshinda na kutukuka-,
na kwa sababu (jambo) hili linaleta mapenzi baina yako na mkeo,

إذا شعر أهلك أنك تساعدهم فـﮯ مهنتهم،
أحبوك، وازدادت قيمتك عندهم،
فيڪون فـﮯ هذا مصلحة ڪبيرة.

itakapohisi familia yako kuwa wewe unawasaidia katika kazi zao, (basi)
watakupenda, na itazidi thamani yako kwao,
basi katika hili kuna mas-lahi makubwa.

📓 شرح رياض الصالحين: (٥٢٩/٣)

Sherhu Riyadhi swaalihina (529/3)

Maelezo kutoka kwa mpitiaji tarjama: 🎤

Ewe mume kumsaidia mke wako kufanya kazi za ndani si ubushoke! kama wanavyodai baadhi ya watu, bali ni katika mwenendo wa mtume-swala na salamu za Allah zimfikie- na hili lina ondoa kiburi na linaleta unyenyekevu, mapenzi na mahaba kwa mke wako na familia kwa ujumla, kwa sababu watu humpenda mtu mwenye tabia ya unyenyekevu na humchukia mwenye kiburi .

Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Ilitumwa kwa mara ya kwanza July 12, 2018M, ikarudiwa tena : Dhul-Qaadah 24, 1442H ≈ July 4, 2021M.

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz

•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *