HILI NI MIONGONI MWA YALE WANAYOYAFICHA MAIBADHI .

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net

هَذَا مِمَّا يُخْفِيْهِ الْإِبَاضِيَّةُ!​

HILI NI MIONGONI MWA YALE WANAYOYAFICHA MAIBADHI!

مماجاء في كتاب أحد علمائهم :

MIONGONI MWA YALE YALIYO KUJA KATIKA KITABU CHA MMOJA WA WANACHUONI WAO (MAIBADHI)

-أحدث عثمان أحداثا أنكرها المسلمون، من تعطيل الحدود…وتحريفه لكتاب الله.

“UTH’MANI ALIZUSHA MAMBO MENGI WALIYOYAPINGA WAISLAMU, KAMA VILE KUACHA KUHUKUMU KWA HUKUMU ZA KISHERIA , NA KUKIBADILISHA (KUKIPINDUA) KWAKE KITABU CHA ALLAH”

📚 REJEA:⇊

​{الكشف والبيان, لأبي عبد الله بن سعيد الأزدي القلهاتي,تحقيق سيدة إسماعيل كاشف)​

[ Al-kashfu wal-bayan,cha Abuu Abdillah bin l-azdiy Al-qalhatiy,kimehakikiwa na Sayyidah Ismail Kaashif ]

UFAFANUZI NA FAIDA KUTOKA KWA MTARJUMU- ALLAH AMHIFADHI-

​Ni uwongo ulioje wa Muibadhi huyu yaani Uthman-Allah amridhie-aache kuhukumu kwa sheria za Allah na aibadilishe qur’an jambo ambalo ni ukafiri ulio wazi!!​

​Uthman-Allah amridhie ni katika watu waliobashiriwa pepo wakiwa hapa duniani na pia yeye ndiye aliyekusudiwa na kauli yake Mtume-swala na salamu za Allah zimfikie-pale aliposema: “من حفر رومة فله الجنة”​

​”Mwenye kuchimba (kisima cha) Rumah basi pepo ni yake”​ .

Na kisima hiki kilichimbwa na Uthman-Allah amridhie-tuwaulize Maibadhi je nyinyi munapingana na Mjumbe wa Allah?.​

​Najua kuwa hawatokuwa na majibu zaidi ya matusi,uwongo na kebehi mbalimbali kama vile hawa ni Mawahabi!!! hawataki umoja wa kiislamu, na maneno mengine ya ubabaishajj na hii ni kawaida ya wazushi wote.​

​pia jambo lingine utaona wazi kuwa wale mashekhe wanaowatetea Maibadhi na kudai kuwa hawa ni ndugu zetu,na hawanatofauti na sisi katika itikadi isipokuwa ni kama tofauti ya baana ya madhehebu manne ya kifikihi tu, tambua kuwa maneno haya si ya kweli bali maneno haya ni maneno ya yule aliyeshibishwa pesa na Maibadhi! mfano kuna wale wanaopelekwa hija na taasisi za kiibadhi, na kuna wale waliowezeshwa kwa kujengewa majumba utawasikia wakisema:hawa hawana shida!! .

Ama kweli fedha fedheha!!​.

Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ ilitumwa October 13,2017 , ikarudiwa kurushwa tena : Shawwal 23, 1442H ≈ Jun 4, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *