Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
حكم الأضحية المجروحة
HUKUMU YA (KUCHINJA) UDH’HIYAH MNYAMA ALIYEJERUHIWA .
سئل العلامة العباد- حفظه الله-:
Aliulizwa mwanachuoni mkubwa Al-‘abbad- Allah amuhifadhi-:
انتشر بين الناس عندنا أن الأضحية إذا كان بها جرح فإنها لا تجزئ، فهل هذا صحيح ؟
Kumeenea baina ya watu (huku) kwetu kuwa (kuchinjwa) cha udh’hiyah kikiwa kina jeraha hakitoshelezi (hakifai) ,je hili ni sahihi ?
الجواب:
Jawabu:
ليس بصحيح، فإذا كان هذا الجرح لم يترتب عليه مرض بين، فإنه لا بأس بها،
Si sahihi, (sahihi ni hivi) likiwa hili jeraha halijengeki juu yake (halisababishi) kutokea maradhi yaliyokuwa wazi basi hakuna ubaya wa (kumchinja) huyo (mnyama) ,
وأما إذا كان ترتب على هذا الجرح أنها مرضت مرضاً بيناً فلا تجزئ؛ للحديث الذي مر: (المريضة البين مرضها).
ama ikiwa hilo jeraha (husababisha) huyo (mnyama) akaugua maradhi ya wazi,basi huyo (mnyama atakuwa) hatoshelezi, kwa hadithi ambayo imepita :
{Mgonjwa ambaye maradhi yake yapo wazi}.
شرح سنن أبي داود للعباد(٣٣٠/٢)
Ufafanuzi wa mfasiri:
Mnyama kama atajeruhiwa na hilo jeraha likasababisha maradhi yanayodhihiri kama ilivyothibiti ktk hadithi basi mnyama huyo hatofaa katika ibada ya udh’hiyah , na vile vile likiwa hilo jeraha linaleta athari katika nyama pia hatofaa , ama likiwa ni jeraha dogo ambalo halijasababisha maradhi ya wazi kwa mnyama basi atafaa kuchinjwa katika udh’hiyah.
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Dhul-hijjah 3, 1442H ≈ Jul 12, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•