HUKUMU YA KUKUSANYA BAINA YA UDH’HIYAH NA ‘AQIQAH .

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net

الجمع بين الأضحية والعقيقة

KUKUSANYA BAINA YA UDH’HIYAH NA ‘AQIQAH

سئل العلامة عبد المحسن العباد -حفظه الله-:

Aliulizwa mwanachuoni mkubwa Abdul-Muhsin Al-‘abbaad- Allah amuhifadhi-:

هل يجوز الجمع بين الأضحية والعقيقة إذا إتفقتا في الوقت ؟

Je inafaa kukusanya baina ya udh’hiyah na ‘aqiqah pindi zitakapoafikiana katika muda ?

الجواب:

Jawabu :

لايجوز.الأضحية أضحية والعقيقة لا تكون شاة في الأضحية والعقيقة هذه لها حكم وهذه لها حكم.

Haifai (kuchanganya), udh’hiyah ni udh’hiyah na aqiqah ni aqiqah haiwi mbuzi (mmoja awe wa) udh’hiyah na (huyo huyo) wa aqiqah ,(kwa sababu) hili lina hukumu yake na hili linahukumu yake

شرح سنن الترمذي للعباد شريط(٢٣٥)

Sher’he ya sunani Attirmidhiy ,kaseti namba (235) .

Maelezo ya mfasiri :

Na hii ndiyo kauli waliyoitegemea baadhi ya wanachuoni wa fiqih wa madhehebu (ya kishafii) pia , na sababu ya kutoingiliana ibada hizi mbili ni :

لأن المقصود عن الأضحية يختلف عن المقصود عن العقيقة ،فالمقصود من الأضحية ضيافة عامة يشترك فيها المسلمون جميعا ،أما القصود من العقيقة فضيافة خاصة فرحة خاصة بأهل ذلك البيت ،

Kwa sababu makusudio ya udh’hiya yanatofautiana na makusudio ya aqiqah , makusudio ya udh’hiyah ni takrima ya ujumla kwa waislamu wote ,ama makusudio ya aqiqah ni takrima maalumu ni furaha maalumu kwa watu wa hiyo nyumba (iliyopata mtoto) ,

فلما كان المقصود من العبادتين مختلفًا لا تتداخل هذه مع هذه ,
والأصل في العبادات الماليه والبدنية عدم تداخل.

Basi pindi kulipokuwa makusudio ya ibada mbili ni yenye kutofautiana (basi) ibada hii haiwezi kuingia kwa hii ,na asili katika ibada za kimali na kiwiliwili ni kutoingiliana.

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Dhul-hijjah 2, 1442H ≈ Jul 12, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *