Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net
حكم وضع مكياج للنساء
HUKMU YA KUWEKA (KUPAKA) MAKEUP KWA WANAWAKE
الإمام الأثري ابن باز
السؤال :
ما حكم وضع المكياج على وجه المرأة إذا كانت لا تبدو للأجانب وإنما تظهر أمام النساء؟
الجواب:
المكياج إذا كان لا يضر وجهها لا بأس به, لكن تزيله عند الوضوء إذا كان له جسم يمنع الماء , أما إذا كان يضر وجهها يسبب مرضا أو بقعا سوداء .. أو ما أشبه ذلك فإنها تتركه؛ لأنه حينئذ فيه مضرة, أما إذا كان يجمل وينور ولكن لا يضر فلا بأس.
SUALI: 🎙
Ni ipi hukmu ya kuweka makeup mwanamke ikiwa hajidhihirishi kwa (wanaume) wa kando na (ikiwa) hudhihiri mbele ya wanawake (wenzie)?
JAWABU: 📚
Makeup ikiwa haidhuru uso wake (mwanamke) basi si vibaya (kutumia) lakini aiondoe wakati wa kutawadha ikiwa ina umbile linalozuia maji (kufika katika ngozi) , ama ikiwa inadhuru uso wake,ina sababisha maradhi au vibaka vyeusi..au mfano wa hayo bila shaka huyo (mwanamke) aiache kwa sababu (hiyo makeup) muda huo ina madhara ndani yake, ama ikiwa (makeup) ina remba au ina ng’arisha (uso) lakini haidhuru basi hakuna ubaya (kuitumia).
📚 REJEA:⇣
فتاوى نور على الدرب ١٠١١
[ Fataawa nuur ‘aala ddarb 1011]
Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: August 22,2017 ,ikahakikiwa na kurushwa tena Shawwal 5, 1442H ≈ May 17, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•