HUKUMU YA MNYAMA WA UDH’HIYAH ANAYEKUFA KABLA YA KUCHINJWA

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net

حكم الأضحية تموت قبل الذبح

HUKUMU YA (MNYAMA) WA UDH’HIYAH ANAYEKUFA KABLA YA KUCHINJWA .

سئل العلامة العباد-حفظه الله-

Aliulizwa mwanachuoni mkubwa Al-‘abbaad- Allah amuhifadhi-.

رجل اشترى أضحية ثم ماتت قبل الذبح أو انكسرت مثلاً، فما العمل؟

Mtu aliyenunua (mnyama) wa udh’hiyah kisha akafa kabla ya kuchinjwa au mfano akavunjika ,basi ni lipi la kufanya ?

الجواب:
Jawabu:

يشتري أضحية أخرى ويذبحها.

Atanunua (mnyama) mwingine wa udh’hiyah ,na atamchinja .

شرح سنن أبي داود للعباد (٣٣٠/٢٧)

Ufafanuzi wa msafiri:

Ukinunua mnyama wa udh’hiyah kisha akafa kabla ya kumchinja au akapata aibu inayozuia kufaa katika ibada hiyo, basi unatakiwa ununue mnyama mwingine badala yake kwa ajili ya kumchinja.

Faida:

Katika madhehebu (ya kishafi) hata kama hiyo aibu au hicho kilema kimepatikana katika harakati za kumchinja kama vile katika kumlaza akapapatika kwa nguvu mpaka akavunjika mguu, basi atakuwa hafai katika ibada hii inatakiwa anunuliwe mwingine .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Dhul-hijjah 3, 1442H ≈ Jul 13, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *