HUYU NDIYE KHOMEINIY KWA YULE ASIYEMJUA !

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net

هذا هو الخميني لمن لا يعرفه!

HUYU NDIYE KHOMEINY KWA YULE ASIYE MJUA!

Khomainy ni mwanachuoni mkubwa wa Mashia katika zama hizi hebu mwangalie Omar Mayunga pindi alipokuwa anunukuu maneno kutoka kwa imamu wake huyu- kama wanavyomuita- pale aliposema :

” …Ndipo Muasisi wa mapinduzi ya Serikali ya Kiislamu ya Iran,Imam Ruhullah Al-Musawy Al-khomainy…”

📚 Rejea:⇊

[ Angalia Qur’an inayobainisha Tarjama na Tafsiri Kiarabu na Kiswahili,ya Aliy Juma Mayunga,ukurasa wa 518 ]

✍🏾 Baada ya kujua uzito wa MTU huyu kwa Mashia hebu sasa angalia itikadi aliyokuwa nayo ambayo ni ya ukafiri kabisa:

قال الخميني – الهالك:-

Amesema Khomainy:​

“لنا مع الله حالات هو نحن ، ونحن هو، وهو هو، ونحن نحن “

“Sisi (Maimamu) tuna hali (mbalimbali) pamoja na Allah (muda nwingine) Yeye (Allah) ndiye sisi na sisi (ndiye) Allah na yeye (Allah ) ni yeye na sisi ni sisi “

📚 Rejea:⇊

شرح دعاء السحر ١٠٣
[ Sherh Du’aau alsahar 103 ]

✍🏾 ​ MAELEZO YA MWANDISHI:-​​

Maana ya maneno haya ni kuwa Khomainy anaitikadi ya wahdat lwujuud yaani itikadi ya kuamini kuwa kila unachokiona ni Allah!

Ni ile itikadi Ibn ‘Arabiy na wengineo ambao wanachuoni wamewakufurisha lakini kwa masikitiko makubwa kuwa mtu huyu katika dini ya kishia ni MTU mzito mno tena ni Imamu!

Kama alivyomuita Mayunga na Mashia wenzake, na Mimi nakumbuka katika miaka miaka ya nyuma kulikuwa na jarida likiitwa sauti ya umma lililokuwa likiandikwa kwa lugha ya Kiswahili jarida hili liliupamba na kuuneza sana ushia pamoja na kumpamba Khomainy na serikali Yake ya Kishia! na kazi hii inaendelezwa na magazeti ya wanaharakati hapa kwetu Tanzania !ambayo yanajulikana hakuna haja ya kuyataja .

basi tambua kuwa hii ni miongoni mwa itikadi za huyu Khomaini yaani kuna muda yeye anakuwa Allah! na Allah anakuwa yeye! –

Ametakasika Allah na uchafu huu utakasifu mkubwa-.

Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Iliandaliwa Swafar 19,1439 H ,na ikahakikiwa na kutumwa tena Shawwal 10,1442H ≈ May 22, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *