JE MASHIA WA KAWAIDA WANALIJUA HILI ?

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net

​هل عوام الرافضة يعلمون هذا؟​

JE, MASHIA WA KAWAIDA WANALIJUA HILI?

جاء في أصح كتب الشيعة, وهو الكافي للكليني.

​(MANENO) YAMEKUJA KUTOKA KATIKA KITABU SAHIHI ZAIDI KWA MASHIA, NACHO NI AL- KAAFII CHA AL- KULAINIY.

من هذه الأبواب:

​KATIKA MILANGO HII (ILIYOPO HUMO)

-باب: أن الأئمة عليهم السلام يعلمون متى يموتون, وأنهم لا يموتون إلا باختيار

منهم (٢٥٨/١).

(HUU) MLANGO (UNAOZUNGUMZIA) : KUWA MAIMAMU – AMANI IWE JUU YAO – WANAJUA (KUWA) WATAKUFA LINI, NA KWAMBA WAO HAWAFI ISIPOKUWA KWA HIARI YAO (1/258).​

       MAELEZO YA MFASIRI: 🎙

​Hivi wale mashia wa kawaida wanayajua haya yaliyomo katika vitabu vyao vikubwa au wanadanganywa na kilo za sukari na robo ya unga?!

mimi nadhani hawajui na lau wangejua basi wangeikimbia dini hii ya kishia!!.​

​Kwa mujibu wa maneno haya ni kuwa maimamu wao mashia wanajua elimu ya ghaibu (iliyojificha) mfano wanajua kuwa mwaka huu watazaliwa watoto wangapi ulimwenguni, na wakiume ni wangapi na wakike ni wangapi tena laajabu zaidi wanajua hata siku ya kufa kwao na tena hawafi isipokuwa kwa hiyari zao, upotevu ulioje wa mashia !!

Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa mara ya kwanza ,september 7,2017 na ikahakikiwa na kurudiwa tena Shawwal 6 1442H ≈ May 18, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *