Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
JE ULISHAWAHI KUFIKIRIA HILI JAPO SIKU MOJA ?
قال ابن عثيمين – رحمه الله- :
Amesema ibn Uthaimin- Allah amrahamu-:
وليعلم كلّ واحد منّا أنه سيأتي اليوم الذي يتمنّى أن يكون في كتابه زيادة حسنة أو نقص سيئة وما ذلك اليوم ببعيد ،
Na atambue kila mmoja katika sisi kwamba itakuja siku ambayo (mtu) atatamani kuwepo katika kitabu chake ziada ya jema au kupungua kosa /dhambi , na hiyo siku haiko mbali ,
الإنسان يمشي فيسقط ميتا، ينام على فراشه فلا يقيمه إلا الغاسل ..فليتق الله امرؤ ولينج نفسه.”
mwanadamu (anaweza) akawa anatembea ghafla akadondoka hali ni maiti, akalala juu ya kitanda chake hakuna atakayemsimamisha ila muoshaji ..basi mwanadamu amche Allah na aiokoe nafsi yake.
فتاوى سؤال على الهاتف ٥١٨/١
Maelezo ya mfasiri:
Jipinde katika kufanya mema na kutubu kwa makosa uliyoyafanya kabla ya kufika muda ambao utatamani upewe japo sikunde kadhaa ili ufanye mema lakini fursa hiyo haitokuwepo kama alivyosema Allah :
وَأَنفِقُوا مِن مَّا رَزَقْنَاكُم مِّن قَبْلِ أَن يَأْتِيَ أَحَدَكُمُ الْمَوْتُ فَيَقُولَ رَبِّ لَوْلَا أَخَّرْتَنِي إِلَىٰ أجَلٍ قَرِيبٍ فَأَصَّدَّقَ وَأَكُن مِّنَ الصَّالِحِينَ
Na toeni katika vile tuliyokupeni,kabla mmoja wenu hakijamjia kifo ,kisha akasema: “Mola wangu mlezi! Hunicheleweshi kidogo (tu) nikatoa sadaka na nikawa miongoni mwa watendao mema ? ”
المنافقون ١٠
Mtarjumu: Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy.
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Mfungo sita 7, 1443H ≈ October 13, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•