فقد نشرت وزارة التراث القومي والثقافة بسلطنة عمان مؤخرا بعض المؤلفات لعلماء وأئمة الإباضية (إحدى فرق الخوارج)،
Bila shaka Wizara ya elimu na utamaduni wa nchi ya utawala wa Sultan ya Oman ili sambaza (wakati wa) karibuni baadhi ya vitabu vya wanachuoni na maimamu wa Maibadhi (moja ya makundi ya kikhawaarij),
ورد بها الكثير من الطعن على هذا الخليفة المفترى عليه.
Na kukapatikana katika (vitabu hivyo) matusi mengi juu ya khalifa huyu mwenye kuzushiwa (Uthman).
ومن بينها كتاب” السير والجوابات لعلماء وأئمة عمان” الذي نشر في سنة 1986،
Na miongoni mwa (vitabu) hivyo kitabu “Assiyar wal-jawaabat liu’lamai wa aimmat Oman” (kitabu) ambacho kilisambazwa mwaka 1986,
وهو من تأليف أبي قحطان خالد بن قحطان، أحد علماء الإباضية المتوفى في القرن الثالث الهجري،
Nacho ni miongoni mwa utunzi wa abuu Qahtwaan Khalid Qahtwaan (ambaye) ni mmoja wa wanachuoni kiibadhi aliyefariki mnamo karne ya tatu ya hijriyyah,
وقامت بتحقيقه الدكتورة سيدة إسماعيل كاشف أستاذة التاريخ الإسلامي بكلية البنات جامعة عين شمس.
Na dokturah Sayyidatah Ismail Kaashim akakifanyia tahqiiq (ambaye) ni mwalimu wa (somo la) historia katika kitengo cha wasichana katika chuo kikuu cha A’inu Shams.
ومما جاء في الجزء الأول في حق عثمان وغيره من الصحابة الكرام ما يلي:
Na miongoni mwa yale yaliyokuja katika juzu ya kwanza (ya kitabu hiki) katika haki ya U’thman na wengineo katika maswahaba (ni) kama ifuatavyo:
فلما امتنع (عثمان) عن التوبة… وظهر كفره في الدار والدعوة، ولم يرتب أحد من المسلمين في قتاله، فقاتلوه فظفرهم الله به
Na pindi Uthman alipojizuia kuleta toba… na ukadhihiri ukafiri wake katika nyumba na da’awa na hakuna muislamu yeyote aliyekuwa na shaka katika kupambana nae (basi) wakapambana nae na Allah akawapa ushindi wa kumshinda (Uthman),
فهزموا أصحابه، فقتلوه خليعا من الإيمان خارجا منه بحكم القرآن، لأن المسلمين إنما قتلوه بحكم كتاب الله لأن الله يقول:
Na wakawashinda watu wake, na wakamua haliyakuwa mwenye kuvuliwa imani (uislamu) hali ya kuwa yupo nje ya (uislamu) kwa hukumu ya Qur’an kwa sababu waislamu hakika si vinginevyo walimua (Uthman)kwa hukumu ya kitabu cha Allah kwa sababu Allah anasema:
{ فقاتلوا أئمة الكفر إنهم لا أيمان لهم لعلهم ينتهون } [ التوبة آية: 12 ]
{ Basi pambaneni (waueni) nao viongozi wa ukafiri, Hakika hao hawana ahadi } [ Attawba:12 ]
📚 انظر: مجموعة السير والجوابات لعلماء عمان. (ج1 ص103)
[ Angalia: Maj’mu’u ssiyar wal-jawaabaat liu’lama Oman, (juzu ya 1 ukurasa wa 103) ]
Maelezo kutoka kwa mfasiri – Allah amuhifadhi
Miongoni mwa itikadi chafu za Maibadhi ni kuwakufurisha baadhi ya Maswahaba kama vile Uthman na Aliyy – Allah awaridhie –
Na hili hulificha hawataki kulidhihirisha na yeyote atakaye lidhihirisha hilo humtupia matusi makubwa na maneno ya uwongo na kebehi! Na hii ni kawaida ya wazushi wote mpaka kiama.
Allah atukinge na itikadi chafu ya Maibadhi kwamba Uthman – Allah amridhie – ameuawa hali ya kuwa ni kafiri na waliomua wametekeleza hukumu ya Allah!!
Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Imerushwa tena Mfungo tatu 17, 1443H ≈ Jul 16, 2022M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•