KANUNI NA MISINGI MUHIMU KATIKA KUISOMA SIRA YA MTUME -SWALA NA SALAMU ZA ALLAH ZIMFIKIE.

Makala namba (1)

للشيخ عبد الله بن صالح العبيد-حفظه الله-.

(Maneno ya) sheikh Abdullah bin Swaleh Al-ubaid -Allah amuhifadhi -.

مسائل مهمة في دراسة سيرة النبي -صلى الله عليه وسلم :

Masuala muhimu katika kusoma sira ya Mtume -swala na salamu za Allah zimfikie – :

“ Hakika kanuni na msingi kwa wanachuoni wakubwa waliobobea na waliohifadhi katika maimamu wa wema waliopita katika kuyapokea yale yaliyonukuliwa kwa Mtume -swala na salamu za Allah zimfikie -(sira) yamegawanyika sehemu kuu tatu :

Sehemu ya Kwanza (a) :

ضمنوه كتب الصحاح كصحيحي البخاري ومسلم ضمنوا بعض سيرته كغزوة أحد وغزوة بدر،وكفتح مكة،وحنين وأشياء من هذا سواء كان هذا قبل مبعث النبي-صلى الله عليه وسلم أو بعده.
(Ni ile sira) waliyoiweka katika (vitabu vya hadithi) sahihi kama vile sahih Al-bukhariy na Muslim ,wameweka (humo) baadhi ya sira yake kama vile vita vya Uhud ,na vita vya Badr na kuufungua (mji wa) Makkah na (vita) vya Hunain na vitu (vingi) katika hivi sawa sawa (matukio haya) yawe kabla ya kupewa utume au baada ya kupewa utume.

Maelezo ya mfasiri :

Hiki ni kigawanyo cha kwanza katika sira yaani ni ile sira iliyopo katika vitabu sahihi kama sahih Al-bukhariy na Muslim na kigawanyo hichi hakina shaka katika usahihi wake .

Inaendelea Allah akitaka

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo tatu 4, 1443H ≈ Jul 3, 2022M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *