KIBURI CHA MSHIA OMAR JUMA MAYUNGA KWA MAMA WA WAUMINI AISHA- ALLAH AMRIDHIE-NA WENGINEO KATIKA MASWAHABA WATUKUFU -ALLAH AWARIDHIE –

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net

تَطَاوُلُ الرَّافِضِيِّ عُمَرَ جُمْعَة مَيُونغ عَلَى أُمِّ المُؤْمنينَ عائشةَ -رضي الله عنها- وغيرها من الصحابة الكرام- رضي الله عنهم-

KIBURI CHA MSHIA OMAR JUMA MAYUNGA KWA MAMA WA WAUMINI AISHA -ALLAH AMRIDHIE- NA WENGINEO KATIKA MASWAHABA WATUKUFU -ALLAH AWARIDHIE-

فها هو نص كلامه:

HAYA NDIO MANENO YAKE YALIYONUKULIWA:

“NAAKITHUUN, ni vile vita vya Jamal katika mwaka wa thelathini na sita Hijria, Imam Ali alipigana na majeshi yaliyoongozwa na Mwana Aisha (Mkewe Mtume) watu kiasi elfu kumi waliuliwa.”

Mapigano hayo yalifanyika katika ardhi ya Basra, Kwa hiyo Naakithuuni ni mwana Aisha, Twalha, na Zuber pamoja na wafuasi wao. Ndio walioamuriwa kupigwa, kwa sababu wao ni waovu.

📑 Rejea:-

[ Qur’an inayobainisha Tarjama na Tafsir Kiarabu na Kiswahili, Na :Ali Juma Mayunga, angalia tafsiri ya surat l- jinn aya ya 15 ]

✍🏾 MAELEZO YA MWANDISHI :-

👉🏾 KWANZA KABISA: kabla ya kuanza kuelezea uovu wa mshia huyu Omar Mayunga msomaji ni lazima utambue kuwa huyu Mshia zamani kabla hajaingia katika ushia kindakindaki alikuwa akiitwa Omar Mayunga lakini alipoingia katika dini ya kishia akawa anajiita Ali Mayunga! kwa sababu itikadi yake ni kuwa Umar bin Al-khattwaab -Allah amridhie- ni muovu na kafiri kwa hiyo haifai kujiita jina lake!!.

👉🏾 PILI : Hebu ndugu muislamu angalia jinsi gani mshia huyu muovu alivyokuwa hana adabu na dharau aliyokuwa nayo kwa mke wa Mtume -swala na salamu za Allah zimfikie- mpaka akafikia kumuita “Mwana Aisha” na ubora wa Mama wa waumini Aisha -Allah amridhie- upo wazi na hadithi zinazoelezea hilo zipo nyingi mno.

👉🏾 TATU: Tizama matusi yake kwa maswahaba pale aliposema kuwa Mama Aisha,Twalha, na Zubeir -Allah awaridhie- hawa ni watu ambao waliovunja ahadi ya kumtii kiongozi (NAAKITHUUNI) na mwisho akamaliza kabisa kuwa hawa ni waovu!! yaani Mama Aisha na maswahaba wengine.

👉🏾 NNE: Ahmed Jalala aache uwongo wake na pale aliposema kuwa mashia hawawatukani maswahaba na huyu mshia mwenzenu mkubwa hapa Tanzania maneno yake ni haya tena haya niliyoyanukuu ni tone katika bahari na tutaendelea In shaa Allah,kubainisha uovu na matusi yaliyopo katika tafsir ya mshia huyu.

MWISHO:-

👉🏾 Waislamu tambueni kuwa Ahmed Jalala pindi alipoona vijana wa kisalafi wameamua kuwabainisha mashia na uovu wao kwa maswahaba akaona kuwa maji ni ya shingo na hoja hana akaona awazuge waislamu kwa maneno yake ya uwongo!

👉🏾 Na mwisho nakuusia muislamu usikubali kuuza uislamu wako kwa kilo za sukari na elfu tano tano, usiendekeze njaa tambua kuwa njaa ni ya muda mfupi lakini adhabu ya Allah ni kali mno! usiingie katika dini ya kishia yenye misingi mibovu kama huu wa kuwatukana maswahaba wa mtume -swala na salamu za Allah zimfikie- na wake zake.

Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ iliandaliwa Swafar 16,1439 H sawa na tar.5/11/2017 ,na ikahakikiwa na kurudiwa kurushwa tena Shawwal 9, 1442H ≈ May 21, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *