KIFO CHA SHEIKH MWANACHUONI MKUBWA WA HADITH YAHYA BIN UTHMAN AL-MUDARRIS-ALLAH AMRAHAMU-

🎙 قال الحسن- رحمه الله-

AMESEMA AL – HASAN: -ALLAH AMRAHAMU-

”كانوا يقولون : موت العالم ثلمة في الإسلام لا يسدها شيئ ما اختلف الليل والنهار.“

“WALIKUWA WAKISEMA (WEMA WALIOPITA): KIFO CHA MWANACHUONI NI PENGO KATIKA UISLAMU (AMBALO) HALITOZIBWA NA CHOCHOTE MUDA AMBAO USIKU NA MCHANA VINAPISHANA (DUNIA IPO)”

📚 REJEA:- ⇊

أخرجه الدارمي في السنن وابن عبد البر في العلم وأحمد في
الزهد​

عن ابن عباس لما دفن زيد بن ثابت حثى عليه التراب ثم قال: هكذا يدفن العلم.

KUTOKA KWA IBN ‘ABBAS PINDI : ALIPOZIKWA ZAIDU BIN THABIT ALIMIMINA UDONGO KWA MIKONO YAKE JUU YA (KABURI),KISHA AKASEMA:

“ HIVI NDIVYO INAVYOZIKWA ELIMU”

📚 REJEA:- ⇊

عبد الرزاق ٦٤٧٩

Maelezo ya mwandishi:

Kifo cha mwanachuoni mmoja ni kama kifo cha umma mkubwa wa watu ,kama alivyosema mshairi:

لعَمْرُكَ ما الرَّزِيَّة فَقْدَ مالٍ *

Naapa kwa umri wako si msiba kukosa mali .

ولا شاةٌ تَمُوتُ ولا بَعِيرُ

Wala mbuzi anayekufa wala ngamia .

ولكنّ الرَّزِيَّة فَقْدُ فذ *

Lakini msiba (haswa) ni kumkosa mtu mmoja

يمُوتُ لِمَوْتِهِ خَلْقٌ كَثِيرُ

(ambaye) hufa kwa kifo chake viumbe wengi .

​فنسأل الله أن يرحم الشيخ يحيى بن عثمان المدرس رحمة واسعة

“Basi tunamwomba Allah amrehemu sheikh Yahya bin Uthman Al-Mudarris rahma (zilizokuwa) pana .

Faida : Ameandika Suleiman Al-Rruhailiy -Allah amuhifadhi- katika ukurasa wake wa twitter kuwa Sheikh Yahya -Allah amrahamu- amefundisha katika msikiti mtukufu wa Makkah kwa muda wa miaka sabini (70).

TANBIH:

Neno ” Naapa kwa umri wako”, ni tamko ambalo lina sura ya kiapo lakini waarabu hawakusudii kiapo .

Mwandishi : Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo tisa 25, 1443H ≈ Jan 28, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *