Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
KITHIRISHA KUOMBA DUA NA KURUDIA RUDIA DUA JIONI YA ‘ARAFAH
قال العلامة ابن عثيمين – رحمه الله –
Amesema mwanachuoni mkubwa Ibn ‘Uthaimin – Allah amrahamu –
في يوم عرفة: ليحرص على أن يكون آخر النهار مشتغلاً بالدعاء ويُلِح بالدعاء،وإن الله -عزوجل- يحبّ الملحين في الدعاء ،
Katika siku ya ‘Arafah: (muislamu) apupie sana awe katika wakati wa jioni ni mwenye kujishughulisha na kuomba dua na kurudia rudia kuomba dua,
na bila shaka Allah – aliyeshinda na kutukuka – anawapenda wenye kurudia rudia (kukariri) katika kuomba dua,
لأنه كُلَّمَا كثر إلحاح العبد ظهر افتقاره إلى ربه عز وجل،
Kwa sababu hakika hali ilivyo kila kunapokithiri (kuomba dua) kwa mja kuna dhihiri (kule) kuhitaji kwake kwa Mola wake mlezi – aliyeshinda na kutukuka,
والإنسان مفتقر إلى الله عزوجل في جميع أحواله،
Na mwanadamu ni mwenye kumuhitajia Allah – aliyeshinda na kutukuka – katika hali zake zote,
{ يا أيها الناس أنتم الفقراء إلى الله والله هو الغني الحميد }،
{ Enyi watu nyinyi ni wahitaji kwa Allah na Allah yeye ni Mkwasi na mwenye kuhimidiwa }
فإذا أظهر الإنسان افتقاره إلى ربه وألحَّ عليه، ولجأ لله في الدعاء ، فليبشر بالدعاء ,
Basi pindi mwanadamu (muislamu) atakapodhihirisha (kule) kuhitajia kwake kwa Mola wake mlezi na akarudia rudia kumuomba,
na akakimbilia kwa Allah katika kuomba dua,
basi awe na bishara ya kujibiwa,
فإن الله تعالىٰ يقول:
Kwani bila shaka Allah – aliyetukuka – anasema:
{ وقال ربكم ادعوني أستجب لكم إن الذين يستكبرون عن عبادتي سيدخلون جهنم
دَاخِرِين }.
{ Na amesema Mola wenu mlezi niombeni nitawajibu hakika bila shaka wale wanaoleta kiburi wakaacha kuniabudu (kuniomba) watauingia moto wa jahannah hali ya kuwa ni madhalili }.
📚 لقاءات الحج (١٠٨/١)
Liqaatu l-hajj (1/208)
•┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈•
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Dhul-hijjah 7, 1442H ≈ Jul 17, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•