Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net
🔴 كــيف تكــون محـاسبة النفس?
KUIHESABU NAFSI KUNAKUWA VIPI ?
✍ أجاب العلامة العثيمين رحمه الله تعالى:
◾️ محاسبة الإنسان نفسه هي أن يتأمل
Alijibu Mwanachuoni mkubwa Al-uthaimin- Allah aliyetukuka amrehemu-:
Mtu kuihesbu nafsi yake ni kujichunguza:
ماذا فعل؟ وماذا ترك؟ وماذا قال؟ وماذا سكت عنه؟ حتى يحاسب نفسه، فيقول مثلا: لم تقولي الحق في موضع كذا وكذا، ولم تفعلي المعروف في موطن كذا وكذا. ويقول: فعلت المنكر في موضع كذا وكذا، وقلت الزور في موضع كذا وكذا.
amefanya nini? na ameacha nini?na amezungumza nini? na amekinyamazia kitu gani ? ili aihesabu nafsi yake,aseme kwa mfano : (kimoyomoyo) haukusema haki sehemu fulani na (sehemu) fulani ,na hukuamrisha mema sehemu fulani na (sehemu) fulani,na aseme (kuiambia nafsi): umefanya uovu sehemu fulani na sehemu fulani,na (sehemu) fulani, umesema uwongo sehemu fulani na (sehemu) fulan.
⬅️ وهكذا يحاسب نفسه عما فعلت، وعما تركت، من أجل أن يقيم المعوج، ويزيل ما فيه الشر ، هذا هو معنى المحاسبة .
Namna hii anaihesabu (mtu) nafsi yake katika yale aliyoyafanya,na yale aliyoyaacha,ili aweze kunyoosha ( sehemu) zilizopinda ,na aondoshe yale ambayo ndani yake yana shari, hii ndio maana ya kuihesabu (nafsi)
📚 فتاوى نور على الدرب
المجلد (١٢ ص ١٦).
Maelezo :
Katika faida za kuihesabu na kuipekuwa nafsi ni mtu kujua makosa na aibu alizokuwa nazo na kuziondoa .
Inatakiwa tujitahidi kumuomba Allah atupe taufiq ya kuzihesabu nafsi zetu kwa sababu yule asiyeihesabu nafsi yake hawezi akayajua makosa yake .
Kuihesabu nafsi kutapelekea kuuchunga muda wako
Kuihesabu nafsi ni sababu ya kudumu na kumuabudu Allah na kumtaja .
Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Shawwal, 8, 1442H ≈ May 20, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•