Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
من درر العلامة مقبل-رحمه الله
MIONGONI MWA LULU ZA MWANACHUONI MKUBWA MUQBIL-ALLAH AMRAHAMUM.
🎙 قال العلامة مقبل بن الوادعي- رحمه الله-:
AMESEMA MWANACHUONI MKUBWA MUQBIL AL-WAADI’IY -ALLAH AMRAHAMU-:
”إذا رأيت صاحب لحية كذابا,وإذا رأيت صاحب لحية خائنا,وإذا رأيت صاحب لحية سارقا,
العيب ليس في اللحية,بل العيب في صاحب اللحية,أما اللحية ليس عليها عيب, اللحية من خصال الفطرة,وهي أيضا من سنن النبي-صلى الله عليه وسلم- التي أمر بها وأوجبها“
“Utapomuona mtu mwenye ndevu ni muongo, na utapomuona mwenye ndevu ni mfanya khiyana,na utapomuona mwenye ndevu ni mwizi,aibu haipo katika ndevu,bali aibu ni kwa mwenye ndevu,ama ndevu haina aibu juu yake,ndevu ni katika mambo (suna) za kimaumbile na hizo (ndevu) pia ni katika suna za Mtume- swala na salamu za Allah zimfike-ambazo ameziamrisha na akaziwajibisha”
📚 REJEA:⇊
إجابة السائل:٢٢٢
Maelezo ya mfasiri:
Ndevu ni sunnah na mwenendo wa Mtume- swala na salamu za Allah zimfikie- aliouwajibisha kwa wanaume pale aliposema:
“وأعفوا اللِّحَى “
“Na ziacheni ndevu” .
,kwa hiyo ukimuona mtu aliyefuga ndevu ana tabia mbaya au muovu basi uovu ni wake na ndevu zinabakia pale pale kuwa ni sunnah na fedheha na dosari zipo kwa huyu mtu .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Iliandaliwa na kutumwa : September 23,2017M , ikarudiwa kutumwa: Dhul-hijjah 17, 1442H ≈ Jul 27, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•