MAADUI WATATU !

◾️‏قال ابن القيم رحمه الله:

Amesema ibn l-Qayyim-Allah amrahamu-:

الدُّنيا و الشيطانُ عَدُوَّان خارجان عنكَ ،
والنفس عدوٌّ بين جنبَيكَ ،

Dunia na Shetani ni maadui wawili waliopo nje na wewe, na nafsi ni adui aliyekuwepo baina ya mbavu zako ,

و من سُنَّة الجهاد

Na katika kawaida ya jihadi :

{ قَاتِلُوا الَّذِينَ يَلُونَكُم }

﴾ Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu﴿

سورة التوبة ١٢٣ .

ليسَ المُبارِزُ بالمُحَاربة كالكَمِين الذي يطلعُ عليكَ من حيثُ لا تشعر.

(Adui) aliyejitokeza kwa ajili ya kupambana si kama (yule) aliyejificha ambaye anakuona kwa upande ambao wewe haumuoni .

📚 بدائع الفوائد ( ٣ /١٢٠٣ )

Maelezo ya mfasiri:

Dunia na Shetani ni maadui wawili wa mwanadamu lakini maadui hawa wapo nje ya mwanadamu, ama nafsi ya mwanadamu ni adui wake aliyekuwa naye karibu zaidi, na katika kawaida ya jihadi mpiganaji anaambiwa aanze na kupambana na adui aliyekuwa karibu zaidi na mpambanaji ,ikiwa ni hivyo basi mwanadamu anaambiwa aanze kupambana na nafsi yake kwa sababu huyo ni adui aliyekuwa karibu na yeye zaidi.

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo saba 22, 1444H ≈ Nov 14, 2022M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *