قال – صلّى الله عليه وسلم-:
Amesema – swala na salamu za Allah zimfikie-:
“..الْكِبْرُ: بَطَرُ الْحَقِّ وغَمْطُ النَّاسِ»
” Kiburi ni kuikataa haki na kuwadharau watu ” .
رواه مسلم .
Maelezo:
Hii ndiyo maana ya kiburi kama alivyoeleza Mtume-swala na salamu za Allah zimfikie- katika hadithi ndefu lakini hapa tumenukuu kipande ili tuelezee maana ya kiburi ,kwa hiyo kiburi : Ni kuikataa haki kwa kujinyanyua , na kuwadharau watu na kujiona .