MAANA YA KAULI YAKE ALLAH : {MOLA WETU TUPE ! MEMA DUNIANI }

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net

ما المراد بالحسنة في قوله تعالى:
↩ •(رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً…)•

NI YEPI MAKUSUDIO YA MEMA KATIKA KAULI YAKE (ALLAH) ALIYETUKUKA-:

{ MOLA WETU !TUPE MEMA DUNIANI}

🎙قال الشيخ عبدالرزاق_البدر -حفظه الله:

Amesema sheikh Abdul-Rrazzaq Al-badr- Allah amuhifadhi-:

📜 (رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً وَفِي الْآخِرَةِ حَسَنَةً وَقِنَا عَذَابَ النَّارِ).

{ Mola wetu ! tupe mema duniani na (tupe) mema Akhera ,na utulinde na adhabu ya Moto.}

📖 ولو نقرأ تفسير هذه الآية في سورة البقرة

•{رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً}• ما المراد بالحسنة ؟
💡 خذ من المعاني الكثيرة التي يتناولها.

Lau tukisoma tafsiri ya aya hii katika suratu al-baqarah

{ Mola wetu! tupe mema duniani} .Ni yepi makusudio ya mema ?

Chukua miongoni mwa maana nyingi ambazo zinaikusanya (aya) hiyo .

📘ولهذا تجد في كتب التفسير يقولون:
•(رَبَّنَا آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً)•
↩ الزوجة الصالحة.
↩ الذرية الصالحة.
↩ المال الطيب.
↩ البيت الحسن.
↩ المركب الحسن.

Kwa ajili hii utakuta katika vitabu vya tafsiri (wanachuoni) wakisema:

{Mola wetu! tupe mema duniani }.

Mke mwema .
Kizazi chema.
Mali mzuri .
Nyumba mzuri .
Kipandwa kizuri.

✔ كل هذه المعاني تجدها تُذكر، لأنّ (آتِنَا فِي الدُّنْيَا حَسَنَةً) يجمع ذلك كله.

Maana zote hizi utazikuta zikitajwa,kwa sababu (kipande hiki)
{Tupe mema duniani} kinakusanya yote hayo .

•{وَفِي الْآخِرَةِ حَسَنَةً}• أيضا كل حسنات الآخرة وخيرات الآخرة وبركات الآخرة تتناول ذلك.

{Na (tupe) mema akhera} .Pia kila mema ya akhera na heri za akhera na baraka za akhera (maneno haya) yanachukua (maana zote) hizo .

📖 ونبينا عليه الصلاة والسلام أوتي كوامل الدعاء وجوامعه صلوات الله وسلامه عليه.
• وهذه الدعوة كان كثيرًا ما يدعو بها صلوات الله وسلامه عليه.

Na nabii wetu-swala na salamu ziwe juu yake-amepewa ukamilifu wa dua na dua zilizokusanya -swala za Allah na salamu ziwe juu yake- .Na dua hii mara nyingi alikuwa akiomba (Mtume) – swala na salamu za Allah ziwe juu yake.

📚شرح رسالة ابن القيم إلى أحد اخوانه (-1-).

Maelezo ya mfasiri:

Sifa kubwa ya mke mwema ni yule aliyeshikamana na dini.

Kizazi/watoto wema ni wale walioleleka katika malezi ya dini na wakaitekeleza katika maisha yao.

Mali mzuri ni ile iliyochumwa kwa njia za halali na ikawa haijamshughulisha muislamu na kumcha Mola wake .

Katika sifa za nyumba mzuri inatakiwa iwe pana na hii ni katika raha za dunia ,ama nyumba inayobana na isiyokuwa na wasaa bila shaka ina kero ambayo hawezi kuijua isipokuwa yule anayeishi nyumba hiyo ! .

Kipando kizuri kinafahamika hakuna haja ya kukielezea .

Tarjama: Ismail Seiph Mbonde Asshaafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Swafar/Mfungo tano 4, 1443H ≈ September 11, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *