Maana ya ukweli wa kuisoma “(Qurani)”

معنى “حق تلاوته “

قال الشيخ ‎صالح الفوزان – حفظه الله

Amesema Sheikh Swaali Al-Fauzan – Allah amuhifadhi-:

في معنى قوله تعالى

Katika maana ya kauli yake (Allah) – aliyetukuka:﴿ الَّذينَ آتَيناهُمُ الكِتابَ يَتلونَهُ حَقَّ تِلاوَتِهِ أُولئِكَ يُؤمِنونَ بِهِ

﴾ Wale ambao tuliowapa kitabu (Qur’ani) hukisoma ukweli wa kukisoma hao hukiamini (kitabu) hicho ﴿

حَقَّ تِلاوَتِهِ: ليس هو مثل ما يظن بعض الناس أنه التجويد ومخارج الحروف والغنة والإدغام والمدود ليس هذا حق تلاوته إنما هذا كيفية تلاوته.

وحق تلاوته: العلم بمعانيه، والعمل به.

Ukweli wa kuisoma (Qur’ani): Si kama wanavyodhania baadhi ya watu kuwa hiyo ni Tajwiid na matokeo ya herufi na ghunnah na id’ghaam na madda, huu si ukweli wa kuisoma, bila shaka si vinginevyo hivi ni namna ya kuisoma.

Na ukweli wa kuisoma (ni): Kuijua maana yake na kuifanyia kazi.

📚 [ الأدلة التوضيحية على مقدمة الحموية ( ٩٩) ]

Maelezo ya Mfasiri:

Kuisoma Qurani ukweli wa kuisoma ni kujua maana yake na kuifanyia kazi kwa kutekeleza kile kinachoamrishwa na kuacha kile kilichokatazwa.

Ama kuisoma Qur’ani kwa hukumu za tajwiid huku si kuisoma Qur’ani ukweli wa kuisoma bali hii ni namna ya kuisoma Qur’ani.

Mfasiri:fawaidusalafiya.net
🗓️ Tarehe: 03 – Safar – 1442H ≈ 20 – September – 2020M.

Dar es salaam, Tanzania
Kiunganishi: https://t.me/fawaidussalafiyatz
Jiunge nasi upate faida mbalimbali.

Muhimu: Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu

Kupata faida nyingi zaidi jiunge nasi Telegram, bonyeza hapa: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

Jiunge nasi katika Instagram, Twitter, facebook na you tube; @fawaidusalafiyatz

   •┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *