MADHARA YA KUTOANGALIA DINI KATIKA KUOA .

إشـتكى رجـل عند سفيان بن عيينة،

KUNA MTU ALIMSHTAKIA SUFIYANI BIN U’YAINAH

أنه تزوج امـرأة فـصار أذل الأشياء عنـدها،

KWAMBA YEYE AMEMUOA MWANAMKE BASI AKAWA NI (KATIKA) VITU DHALILI MNO MBELE YA HUYO (MWANAMKE)

وأحقـرها ؛ أي أنَّها تذله ،

NA ASIYEKUWA NA THAMANI MNO : MAANA YAKE NI KUWA ALIKUWA AKIMDHALILISHA

فقال سفـيان :

BASI AKASEMA SUFIYAN :

لعلك رغبت إليـها لـتزداد عِـزًّا ؟!

HUWENDA WEWE UMEMPENDA ILI UTUKUFU WAKO UZIDI ?!​

قال : نعم ،

(YULE MTU) AKAJIBU: NDIYO​

فقال سفـيان :

BASI SUFIYAN AKASEMA:​

من ذهـب إلى العز ابتلي بالـذل ،

MWENYE KWENDA (KUOA) KWA AJILI YA (KUTAFUTA) UTUKUFU, ATAPEWA MTIHANI WA UDHALILI

ومن ذهـب إلى المال ابتلي بالفقـر ،

NA MWENYE KWENDA (KUOA) KWA AJILI YA (KUTAFUTA) MALI ATAPEWA MTIHANI WA UFAKIRI

و من ذهب إلى الـدين يجمع الله له العز و المال مع الـدين.

NA MWENYE KWENDA (KUOA) KWA AJILI YA DINI (BASI) ALLAH ATAMKUSANYIA UTUKUFU NA MALI NA DINI.

📚 MAREJEO⇊:

​حلية الأولياء ( ٧ / ٢٨٩ )

UFAFANUZI WA MFASIRI- ALLAH AMUHIFADHI NA AMSITIRI: ✍🏾

Unapoenda kuoa au unapotaka kuolewa jitahidi kuangalia sifa ya dini kabla ya sifa nyingine ama ukiangalia utukufu, jina, kabila na mfano wa hayo bila ya dini basi tambua kuwa utakuwa ni dhalili mno mbele ya huyu mke, kwa maana utakuwa ni dhalili kuliko vitu vyote. Na vile vile ukioa kwa kuangalia mali za mwamke utajaribiwa kwa kupewa ufakiri

ama ukioa kwa kuangalia sifa ya DINI, basi Allah atakupa vyote utukufu, mali dini, Na hatuna maana ya kuwa usitafute sifa nyingine zaidi ya dini! bali kila sifa utakayo ichagua ni lazima iambatane na DINI , kwa sababu ndiyo msingi.

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo tano 16, 1443H ≈ Sep 12, 2022M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *