Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
🌷 MAISHA YA NDOA YENYE UTULIVU🌷
Amesema mwanachuoni mkubwa shekh Muhammad ibn Swaleh Al-uthaimin -Allah amrehemu:-
“Wakiwa wanandoa wanataka maisha ya ndoa mazuri (yenye raha) basi ni juu yao kuchunga yale ya wajibu (kwake) na kuyasimamia,na kusubiri juu ya mapungufu ya mwenzie.
االإلمام ببعض آيات القرآن. (ص ٦٥٥)
Maelezo:
Hii ni katika kanuni za kupata raha, furaha na utulivu katika maisha ya ndoa : Kwa kila mmoja kuyajua yale ya wajibu kwake na kuyatekeleza na kusubiri juu ya mapungufu ya mwenzie yaani kutopatiliza kila jambo.
Imepitiwa na : Ismail Seiph Mbonde .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Muharram 27, 1443H sawa na September 5, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•