Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net
الرافضة وتكفيرهم للصحابة وعامة المسلمين!
MASHIA KUWAKUFURISHA KWAO MASWAHABA NA WAISLAMU WOTE .
قال الصدوق:
Amesema Asswaduuq:
”واعتقادنا فيمن جحد إمامة أمير المؤمنين علي بن أبي طالب – عليه السلام – والأئمة من بعده – عليهم السلام – أنه كمن جحد نبوة جميع الأنبياء, واعتقادنا فيمن أقر بأمير المؤمنين وأنكر واحدا من بعده من الأئمة أنه بمنزلة من أقر بجميع الأنبياء وأنكر نبوة نبينا محمد – صلى الله عليه وآله“
“ Na itikadi yetu kwa (yule) ambaye aliyepinga uongozi wa kiongozi wa waumini Aliyy bin Abii Taalib – amani iwe juu yake – na (akawapinga) maimamu (11) baada yake bila shaka (mtu) huyo (atakuwa) kama yule aliyepinga utume wa Mitume wote, na itikadi yetu (pia) kwa (yule) ambaye aliyemkiri kiongozi wa waumini na akampinga mmoja (yeyote) baada yake katika maimamu (11) bila shaka (mtu) huyo atakua katika daraja la yule aliyewakiri Mitume wote na akapinga utume wa mtume wetu Muhammad – swala za Allah ziwe juu yake na aali zake ”
📚 الاعتقادات (103)
[ Al-i’tiqaadat (103) ]
Maelezo ya Mfasiri – Allah amuhifadhi
Hii ndiyo dini ya kishia maswahaba wote ni makafiri kwao isipokuwa wale walio wavua wao tena hawavuki watano idadai yao! Kwa sababu hawakumchagua Aliyy – Allah amridhie – kuwa kiongozi baada ya kifo cha Mtume – swala na salamu za Allah zimfikie – na waislamu wote wasiokubali kuwa Aliyy alistahiki kuwa kiongozi baada ya Mtume basi kwao ni makafiri! na haya ni maneno ya mwanachuoni wao mkubwa wa hadithi (Asswaduuq), kwa hiyo mashia ni matakfiri wakubwa duniani! cha ajabu zaidi wanawabandika uovu huu masalafi /Ahlu sunnah kwa kuwaita Mawahabi na kuwapaka uchafu huu ambao Ahlu sunnah hawana !kwa hiyo yeyote asiyekuwa shia kwa Mashia huyo ni kafiri ! madhehebu yote manne ya Ahlu sunnah kwa mashia hao ni makafiri : 1- Mashafii 2-Mahanabila 3-Hanafia 4-Malikia .
Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Iliandaliwa Shawwal 21,1439 H ,sawa na tarehe 10/11/2017M ,ikahakikiwa na kurudiwa tena Shawwal 6, 1442H ≈ May 18, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•