Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
الْعَشْرُ الْأُوَلُ من ذي الحجة عند السلف
(MASIKU) KUMI YA MWANZO YA MWEZI WA MFUNGO TATU KWA WEMA WALIOPITA
قال أبو عثمان النهدي -رحمه الله-:
Amesema Abuu ‘Uthmaan Annahdiy-Allah amrahamu -:
كانوا يعظمون ثلاث عشرات:
العشر الأخير من رمضان،
والعشر الأول من ذي الخجة,
والعشر الأول من المحرم.
Walikuwa wakiyatukuza makumi matatu :
(Masiku) kumi ya mwisho ya Ramadhani,
na kumi la mwanzo la Dhul-hijja /mfungo tatu .
Na kumi la mwanzo la Muharram/mfungo nne.
📚 لطائف المعارف (ص ٣٩)
[ Latwaaifu l-ma’arif, (ukurasa wa 39) ]
Faida ya mfasiri: 🎤
Walikuwa wakiyatukuza makumi haya kwa kuyafanya yale ambayo sheria imeyaelekeza yafanywe katika makumi hayo .
Huyu Abuu ‘Uthman Annahdiy -Allah amrahamu -alidiriki zama za ujaahiliyah na alisilimu katika zama za Mtume -swala na salamu za Allah zimfikie-,lakini hakumuona Mtume-swala na salamu za Allah zimfikie-, na amepokea hadith kutoka kwa Maswahaba kadhaa, na anahesabiwa katika watu walioishi umri mrefu sana ,kwasababu aliishi miaka mia moja na thelathini (130).
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Dhul-Qaadah 30, 1442H ≈ Jul 9, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•